Uhalisia wa taifa la Israeli

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
879
1,000
Imenilazimu nianzishe thread kabisa kuhusu hili taifa la israeli la sasa baada ya kuona baadhi ya thread zilizotangulia nyingi tu zinazo elezea umahiri na ushupavu wa hili taifa la israeli la sasa.wengi wao wanasifia namna hili taifa lilivyo/linavyo endesha shughuli zake za kila siku na namna lilivyoweza kufanikiwa kuhimili mikiki mikiki dhidi ya waarabu tangu kuanzishwa kwake 14 May 1948,
Mbaya zaidi wengi wamefikia hata hatua ya kusifia kila linalofanywa na hawa wanaojiita wayahudi wakidhani ni lazma kibiblia kufanya hivyo,kama ukiwa na moyo wa Mungu ndani yako unatakiwa uwaonee sana huruma Wapalestina wanaouliwa kinyama na hawa wayahudi huko Gaza na sehemu zingine duniani,kama una Roho ya Mungu ndani yako ulitakiwa usiku na mchana ulie na kuomboleza na kuwaombea raia wa Syria,Iraq,Jordan wanaokufa maelfu na maelfu kila kukicha baada ya kuchonganishwa na hawa wanaojiita wayahudi! kama kweli una roho ya Mungu ndani yako ulipaswa kuhuzunika sana juu ya watu wa DRC CONGO,SOMALIA,SOUTH SUDANI,AFGHANISTAN ambao hawaijui amani tangia kuanzishwa kwa mataifa yao! Kumbuka kuwa Yesu alikufa pale msalabani kwaajili yao pia,na wapo miongoni mwao wameokoka na wanampenda Yesu kama wewe na mimi na kila siku wanaomba amani kwenye mataifa yao!

Lakini mwisho wa hili taifa fake la ISRAEL (wayahudi fake) unakaribia!, kama unaamini katika maandiko ya biblia na kuyachunguza kwa umakini utagundua kuwa wayahudi halisi bado wapo utumwani,bado maisha yao ni ya taabu,bado wanaishi kwenye dhiki na taabu nyingi! bado ile laana ya kumbukumbu la torati 28 ya kumkataa masihi (YESU) ipo juu yao,nitaweka baadhi ya facts hapa chini na naomba kabla ya ku coment jaribu kuchunguza kwanza maandiko kwa umakini

1.KUMKATAA YESU KAMA MASIHA

Ukisoma Biblia mwanzo mpaka mwisho kila wakati wana wa israeli walipokuwa wakimuasi Mungu na Kugeukia miungu wengine Mungu alikuwa anawatia katika mikono ya maadui zao au kuwapiga na ugonjwa soma kitabu choote cha waamuzi "Waamuzi 2:11-14,19-23,waamuzi 3:7-8,
Ukija kusoma agano jipya wana wa israeli walimkataa Yesu kama Masihi wa Bwana (kumbuka ndani ya Yesu, Mungu alikaa ndani yake katika ule mwili 1Timotheo 3:16),kimsingi walimkataa Mungu wakamtesa wakamsulubisha msalabani mwishoni wakamuua siku yatatu akafufuka akapaa kwenda mbinguni, so ile laana ya kumkataa Mungu ya Kumbukumbu la torati 28:15 lazma ijidhihirishe kwenye maisha yao! ndiomaana Yesu aliwaambia walipokuwa wanalishangaa Hekalu lao hapo hapo akawatabiria kuwa hilo hekalu litabomolewa hakuna jiwe litakalo kaa juu ya jiwe jingine na watachukuliwa utumwani na kutawanywa kila sehem ya dunia na pia Yerusalem itatekwa na mataifa mpaka muda wa mataifa utakapotimilizwa! soma Luka 21:5-24 ukitazama hili taifa la leo linalojiita ISRAEL lipo tofauti na hayo maandiko hapo juu ndio watu walioshikilia uchumi na utajiri mkubwa duniani!,karibia 60% ya matajiri wa dunia hii ni waisrael(wayahudi) wakati ndio watu wanaoongoza kufanya unyama na ushetani mkubwa duniani,ndio waanzilishi wa imani za kishetani kama illuminati na fremasons na ocult organisation nyingi sana duniani,
Miji yao kama tel aviv ndio "GAY HAVEN" (mbingu ya mashoga) hakuna sehemu yenye mashoga wengi na ambao wapo huru kufanya mambo yao kama israel! wanafanya haya yoote ni kinyume kabisa na maagizo ya Mungu kinyume kabisa na yale masharti ya kumbukumbu la Torati 28:1-13 ili upate baraka za Mungu unatakiwa ufanyeje,kumbuka baraka za "Mungu zina masharti" kumbukumbu la torati 28 kuna masharti ya kupata baraka za Mungu na kuna Laana pia ya kutokufuata masharti ya Mungu, hili andiko haliko evident kabisa katika maisha ya hawa wanaojiita wayahudi wa leo,"Wamemuasi Mungu lakini bado wamebarikiwa"!,kuna watu huwa wanashikilia eti lile agano la Mungu na Abraham ndio linalowafanya wabarikiwe kitu ambacho sio kweli Mungu aliwawekea masharti ya kufuata ili warithi zile ahadi alizomuahidi Abraham baba yao ndiomaana walikuwa wakikiuka miiko,wasipotimiza zile ahadi ilikuwa lazma waadhibiwe! ukiona unatenda dhambi halafu bado unabarikiwa ndugu yangu hizo baraka hazitoki kwa Mungu!,
Tunachokiona kwa hili taifa la Israeli sasa ni kinyume chake kabisaaa! Wana wa Israeli halisi bado wapo utumwani,bado wanatawaliwa,bado wanaishi maisha ya dhiki,ufukara na umaskini zile laana za kumbukumbu la torati 28 bado ziko juu yao! sio hawa waliopo israeli sasahv wanaoishi maisha ya anasa na utajiri mkubwa!


2.NABII GANI KAWARUDISHA HAWA WAYAHUDI ISRAELI?

Ukisoma biblia vizuri hasa kitabu cha kutoka mpaka malaki na pia kitabu cha waamuzi,utagundua kipindi wayahudi walipokuwa wakiasi lazma laana ije juu yao either kutokea kwa ugonjwa kama tauni,ukoma nk au kupigwa vitani na taifa lao kuchukuliwa mateka.na pindi wakiwa huko utumwani baada ya miaka mingi ya mateso huanza kumrudia Mungu wao naye Mungu huwainulia nabii huko wa kuwarudisha nchi ya baba yao inchi ya ahadi ,the same case ilitokea walivyokuwa misri Mungu akamuinua Mussa na baadaye Joshua,samsoni,eliya,elisha,na wengine weengi sana ambao roho wa Bwana iliwashukia wakapewa mamlaka ya kuwarudisha nchini mwao,je hawa waliorudi 14 May 1948 nabii yupi nani aliwarudisha?
Nani alisema hawa ndio wayahudi kwanini wasingewachukua wamasai,au wachina au wahindi au wasomali au wanyakyusa au wachagga ? au hata wapalestina ambao walikuwepo pale pale miaka nenda miaka rudi badara yake wakasema hawa wazungu wa ulaya ndio wayahudi wanarudi? walitumia kigezo kipi kutambua kuwa huyu ni myahudi na yule sie baada ya miaka kama 2000 hv ya kupoteana? usije ukasema walipima DNA,DNA imekuja miaka ya 1960 mwanzoni na imeanza kuwa active miaka ya 90! ni Mungu pekee tu ndiye anayeweza kuwatambua na nipekee tu atawarudisha pale sio hawa wazungu waliojirudisha wenyewe na kujifanya wana wa israeli ile hali sio! biblia imesema wazi kwenye kitabu cha Luka 21:24 kuwa Yerusalemu itachukuliwa na kukaliwa na mataifa mpaka muda wa mataifa utakapotimilizwa!,na pia kitabu cha Yeremia 23:5-6 kinasema kuwa wayahudi halisi hawatarudi katika nchi yao mpaka masihi "YESU" atakapo kuja!

3."UFUNUO WA YOHANA 2:9 KJV VERSION"
"I know thy works, and tribulation, and poverty, (but thou art rich) and I know the blasphemy of them which say they are Jews, and are not, but are the synagogue of Satan."

"NAIJUA DHIKI YAKO NA UMASKINI WAKO,(LAKINI U TAJIRI) NAJUA NA MATUKANO YA HAO WASEMAO YA KUWA NI WAYAHUDI,NA SIO BALI NI SINAGOGI LA SHETANI"
Huu mstari ni very powerful kwa mtu mwenye moyo wa kujifunza maandiko,kwanza unakupa mwanga flani kuwa kumbe kuna wayahudi halisi na wasio halisi (fake) ambao ni pandikizi la shetani! pili inakufundisha kuwa wayahudi halisi wanayaishi maisha gani kwa sasa japo ni matajiri wa kiroho na kimwili! ni mstari ambao wakristo wengi wamekuwa hawaelewi maana yake ni nini,
ukiusoma vizuri utagundua wayahudi (wana wa israeli) halisi wapo kwenye dhiki sasahivi,wapo kwenye umaskini sasa hivi japokuwa ni matajiri (utajiri wa kiroho na kimwili) kwakuwa hawakulitii lile andikola kumbukumbu la torati 28)!

4.KUCHUKULIWA UTUMWANI LUKA 21:19-24

H
apa YESU alikuwa anawapa unabii wa siku za mwisho baada ya yeye kuondoka na kabla hajaja mara ya pili,mstari wa 20 unazungumzia uharibifu wa mji wa yerusalemu na hekalu takatifu ambao ulitokea mara baada ya Yesu Kupaa kwenda mbinguni na mstari wa 24 unazungumzia wayahudi watapigwa na wengi wataanguka kwa makali ya upanga na watachukuliwa utumwani katika mataifa yoote! na Yerusalemu itakaliwa(itakanyagwa) na mataifa hata majira ya mataifa yatakapo timia!,
Swali linakuja je? ni lini hawa wanaojiita wayahudi wa sasahv waliwahi kuchukuliwa utumwani na wapo kwenye utumwa mpaka sasa? historia inaonyesha ni mtu mweusi tu ndio kawahi chukuliwa utumwani kwenye dunia hii,ni mtu mweusi tu ndio aliuzwa minadani kama bidhaa na kuteswa na kudhalilishwa hadi sasa ndio mtu pekee anayeishi maisha ya utumwa mpaka sasa ndio mtu pekee aliyetapakaa kila kona ya dunia mpaka sasa sio hawa wayahudi wa israeli sasahv na please usije ukasema HOLOCAUST ilikuwa ni utumwa,ule haukuwa utumwa na kuna doubt kibao hapo kama kweli ilitokea au la na wala hakuna NAZI member yoyote aliyewahi kuhukumiwa kwa hii Holocoust hao akina Aldof Eichman walishtakiwa kwa uhalifu wa kivita!,na ilijumuisha watu wa jamii mbali mbali,weusi,wajerumani,waarabu nk tofauti na utumwa wa waafrica watu weusi "NEGROS",sisemi watu weusi woote ni wayahudi la au sio wayahudi la nachosema hapa nikwamba wayahudi wana wa yakobo walikuwa weusi,na kipindi kile watu weusi walikuwa wengi tu duniani soma mgawanyiko wa watoto wa nuhu baada ya ghalika kuisha
katika mstari huo huo wa 24 mwishoni imeandikwa Yerusalemu itakaliwa na "GENTILES" watu ambao sio wenyeji wa ule mji mpaka muda wa hao wageni kutimia! ndio atashuka sasa mwenyewe sasa LUKA 21:25-27 Na akija sasa soma YEREMIA 23:5-8 hasa mstari wa 6 kipindi hicho Bwana Mungu mwenyewe atawatoa sasa waisraeli kutoka pande zoote za dunia kuja kuisha salama katika taifa lao na sio hawa wazungu wa ulaya akina netanyahu na wenzake! hawa ni GENTILES katika ardhi ya watu wengine ndio maana kipigo chao kinaandaliwa sasahivi ndio ile vita ya ARMAGEDONI iliyosemwa kwenye kitabu cha ufunuo 16:13 ule upanga utaletwa mahususi kwaajili ya hawa jamaa usione RUSSIA amepeleka majeshi syria,mmarekani kapeleka na mataifa wengine wanapeleka ukadhani anayeandaliwa kipigo ni syria! hakuna! tuko kwenye nyakati za mwisho huko siku za mbeleni kibao kitageuka kwa hawa wanaojiita israel ndiomaana siku hiyo ikifika kabla haijaanza Mungu atamtuma malaika wake wawaweke alama wale wayahudi halisi 144,000 watakaokuwepo duniani kipindi hicho UFUNUO 7:1 ili wasipate kile kipigo kisichowahusu!

5.RANGI YA WAYAHUDI
Zamani kabla sijaanza kuchunguza maandiko nilikuwa najua kuwa wayahudi ni wazungu kama ambavyo watu wengi hudhani hivyo na huwaona wayahudi wa leo kwa namna walivyo weupe na wazungu na huwezi kutofautisha kati ya mwingereza na myahudi au mjerumani na myahudi au muitaliano na myahudi leo hii,
Ukisoma Kitabu cha mwanzo utaona Yakobo alikuwa na wake wawili LEAH na RACHEL na pia alizaa na vijakazi wawili wa kila mmke wake kijakazi wa Leah alikwa anaitwa ZILPHA ambaye alimzaa GADI na ASHERI na kijakazi wa wa Rachel alikuwa anaitwa BILHAH ambaye alizaa DANI na NAFTALI kipindi kile vijakazi wengi walikuwa wanatokea africa walikuwa wa KUSH kama vile alivyokuwa mke wa Mussa zupporah Hesabu 12:1,sasa basi katika kabila 12 za ISRAEL walikuwa ni watu wa rangi mbali mbali "people of colour" walikuwa ni watu wa mchanganyiko wa rangi sio WAZUNGU!
1.AYUBU 30:30 anajielezea rangi yake ilivyo "Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari."
2.WIMBO ULIO BORA 1:5 Sulemani anajielezea rangi yake ilivyo " Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani"
Mtu mweusi akipata shida either ya hali ya hewa au ya mateso ule weusi wake huongezeka maradufu na akiwa wakati wa raha ule weusi wake hung'aa soma
1.wimbo ulio bora 1:6 "Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda"
2.maombolezo 4:8 "Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti."
3.maombolezo 5:10 "Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuu; Kwa sababu ya hari ya njaa ituteketezayo."
Ndiomaana watoto wa Yakobo walivyotumwa na baba yao kwenda misri kununua mikate wakamkuta ndugu yao Yusufu kule sasa kwakuwa alikuwa anafanana na wamisri na wamisri hawakuwa wazungu walikuwa weusi! ndugu zake walishindwa kumtambua! MWANZO 42:1-8, Ndio maana Yusufu na Mariam waliposikia herode anataka kumuua mtoto walikimbilia misri kwenda kumficha huko mpaka Herode alipofariki MATHAYO 2:13 ilikuwa rahisi kwa wana wa israeli kukimbilia kujificha huko misri sababu wayahudi walikuwa wanafanana rangi na wamisri,itakuwa kichekesho eti mwafrika kukimbilia ulaya au china kujificha wakati hafanani na watu wa huko wale weupe na wewe mweusi unajificha kwa unaofanana nao ndio maana wayahudi wengi sana walikuwa wanakimbilia kusini mwa israeli,misri na kush kujificha sababu walikuwa wanafanana na watu wa huko kuanzia rangi ya ngozi zao na maumbo,
Kipindi Yesu kazaliwa alikuta israeli inatawaliwa na WARUMI "ROMAN EMPIRE" ambapo kama alivyotabiri baada ya Yesu kukataliwa na wayahudi na baadaye kupaa kwenda mbinguni kulitokea vita kwenye utawala wa warumi ambayo hiyo vita ilipelekea kuharibiwa lile hekalu la Suleiman na wana wa Israeli kuchukuliwa tena utumwani na wengine kukimbilia hasa kusini mwa Israel "KUSH" au Afrika sababu huko hakukua na hiyo vita! na ilikuwa rahisi wao kujificha kwa watu wa kushi sababu walikuwa wanafana nao ndiomaana hii dhana ya hawa wayahudi wa ulaya imekuwa ni moja ya hoja kubwa sana ulimwenguni kivipi wayahudi walikimbilia ulaya wakati vita ya Roman Empire ndio ilikuwa imetokea huko inashuka Israel! wayahudi wengi walikimbilia Afrika sio Ulaya! sio hawa wanaojiita Ashkenazi wala sephardim wala mizrahim hawa asilia yao ni uturuki ni wa KHAZARIANS sio wayahudi wasili sio wayahudi waliotokana na Yakobo mpaka sasa wayahudi waliopo israeli na ambao Uyahudi wao hauna mashaka ni wale waliotokea ETHIOPHIA "BETA ISRAELI" wale ni watoto wa Suleiman alizaa na Queen of Sheba na ni weusi sio wazungu na wanabaguliwa na kuteswa sana huko Israeli,wengi wao wanajiua na kuuawa kinyama,wanabaguliwa kila kona ya Israel sababu ya ile laana ya kumbukumbu la torati 28! hawa wayahudi wa ethiophia wametangulia tu pale kabla ya wakati ndiomaana haya yanawapata! jaribuni kufuatilia msiijadili hii mada kwa kutumia sana midomo yenu na kuweka kando Bongo zenu!
Kwa hizo hoja chache sana miongoni mwa hoja nyingi juu ya uhalali wa hawa wayahudi zinatosha kwa sasa kuwaachia mkatafakari vizuri kuhusu hili taifa la israel la sasa,wakristo wengi tumekuwa tunadanganyika kwa namna moja au nyingine kuhusu hawa jamaa na mbaya zaidi kuhusu kile kifungu cha Mwanzo 12:3 Mungu alikuwa anamwambia Abraham kuwa atawabariki wanao mbariki na atawalaani wanao mlaani shida inakuja nani ni mtoto wa Abraham sasa? ndio hao wanaokaa israeli sasa?
Wewe kama mkristo kitu gani kimekwambia hao waliopo Israeli ndio wana wa Israeli halisi mpaka unapotena pesa,muda na akili yako kuwatukuza na kuwabari kila kukicha? au umesoma taarifa za habari tu kuwa hawa ni wayahudi kwenye CNN,NBC,ABC,FOX,BBC,WP,AP,reuters nk ? kichekesho nikwamba hivyo vyombo vyoote vikubwa nilivyovitaja hapa vya habari wanamiliki hawa wanaojiita wayahudi :):)!
Au uliangalia movies za Yesu,Noah,Moses,Samson zinazoonyesha wayahudi wazungu ukaamini? Studio zoote za hollywood walikorekodia hizo movies zinamilikiwa na hawa wanaojiita wayahudi! Nirahisi sana kwao kujipendelea kuliko watu wengine!
Wakristo wengi kwa udhaifu wetu wakutokusoma maandiko ndio tunajua hivyo na mbaya zaidi ni wachache sana wenye courage ya kuhoji hili taifa la israeli sasahv kama ni wale watoto wa Abraham au la! au hata kujaribu kukemea yale matendo waovu wanayowafanyia watu wengine kama wapalestina
Ukisoma kwa umakini hizo hoja zangu tano hapo juu utagundua hawa sio wale watoto wa abraham! uchunguzi uliofanyika miaka ya 1980 uligundua over 98 % ya wayahudi wa kipindi hicho hawakuwa wayahudi halisi wa damu hapa namaanisha hawana blood link with biblical israelites asili yao ni Turkey,ujerumani na sehem zingine za ulaya! sasahv hata wanahistoria wa hawa wanaojiita wayahudi wanakiri kuwa wao sio wayahudi halisi wa damu! mfano kitabu cha
1.ARTHUR KOESTLER-THE THIRTEEN TRIBES BOOK (akimaanisha wao ni kabila la 13 badala ya yale 12 ya Israel) nimekiambatanisha na hii thread
2.Benjamin Freedman
3.Shlomo Sands
4.Henri Ford -huyu hakuwa myahudi ila naye alifanya uchunguzi kuhusu wayahudi akagundua hawa wanaojiita wayahudi sio wayahudi halisi akaandika kitabu kinaitwa "INTERNATIONAL JEW" nimekiambatanisha na thread hii
5.John Beaty-kitabu kinaitwa "THE IRON CURTAIN OVER AMERICA"
6.Col. Curtis B Dall-kitabu kinaitwa "Israel FIVE TRILLION DOLLAR SECRET"
Kichekesho kingine ni hiki aliyewahi kuwa kiongozi wa Taifa la misri Gamel Abdul Nasser aliwahi kusema hivi " I CANNOT RESPECT THE SO CALLED JEWS BECAUSE THE LEFT ISRAEL AS BLACK AND RETURNED WHITE"!
Fact nyingine ni hii Mungu alikuwa akiwapa mapigo ya ukoma wana wa israel pindi wakiasi soma mambo ya walawi 13:1 utajua hawa watu walikuwa weusi sasa walikuwa wakipigwa na ukoma rangi ya ngozi yao hubadirika na kuwa nyeupe na pia vinyweleo vyao huwa vinabadirika na kutoka vyeusi na kuwa vyeupe mambo ya walawi 13:3! "na hilo pigo kuonekana kwake limeingia ndani kuliko ile ngozi ya mwili wake" yaani hilo pigo limeonyesha ile ngozi ya ndani ambayo ni nyeupe kuliko ile ngozi ya nje ambayo ni nyeusi! ni pigo la ukoma hilo! mtu mweupe akiwa na ukoma huwezi kumtambua kwasababu tayari ngozi yake ya ndani na nje hazina utofauti! ni mtu mweusi tu ana rangi tofauti ya nje na yandani ndiomaana watu weusi huitwa people of colour yaani watu wa rangi mbali mbali ndiomaana mtu mweusi anaweza akabadirika rangi akawa mweupe ila mweupe hawezi kuwa mweusi! ndiomaana mtu mweusi akiungua mwili wake huwa unakuwa mweupe kama kapata pigo la ukoma isipokuwa hapo ukisoma mambo ya walawi 13:4 kama malaika yake"vinyweleo" havikugeuka rangi kutoka vyeusi kuwa vyeupe huo unakuwa sio ukoma !
hapa namaanisha mtu mweusi akipata ukoma hiyo sehem ya mwili wake yenye ukoma hubadirika na kuwa nyeupe na pia malaika yake"vinyweleo" hugeuka pia kuwa vyeupe! na pia mtu huyo huyo mweusi akiungua mfano na moto au na maji ngozi yake hugeuka na kuwa nyeupe ila malaika yake "vinyweleo" vinaendelea kubaki vyeusi"! huo unakuwa sio ukoma hizo ni dalili ambazo Mungu alikuwa anawaambia makuhani wa Israeli namna ya kutambua ukoma katika jamii zao na namna ya kuutibu! kama wangekuwa ni wazungu kama hawa wanaojifanya leo kuwa ni wayahudi hili andiko alifiti kwao! wazungu wanavinyweleo na ngozi tofauti!
ndio maana hawa wayahudi fake wa sasahv ukijitokeza tu mtu ukajaribu kuwahoji mienendo yao upesi upesi wataanza kukusema wewe ni ANTI-SEMITE,mbaguzi,unampenda Hitler,Utalaaniwa watakimbilia kusoma mwanzo 12:3 yaani hawa watu wamekuwa "untouchable" hawaguswi hawahojiwi wala hawaulizwi asili yao wakristo wengi wamefika hadi kuweka mabendera ya israeli majumbani mwao,makanisani,kwenye magari hadi kuvaa mabendera ya israeli wakiamini kufanya hivyo wanalibariki taifa la teule la Bwana! kumbe wayahudi halisi bado wapo utumwani! bado wanaishi maisha ya taabu bado ile laana ya kumbu kumbu la torati 28 ipo juu yao!
Kioja kingine ambacho huwezi kukidhani,soma kitabu cha waamuzi 13:1-na kuendelea,kama kawaida wana wa israeli walipofanya mabaya mbele za Mungu,Mungu akawatia katika mikono ya wafilisti kwa muda wa miaka 40! sasa walipoamua kumrudia Mungu akamuinua Nabii aliyeitwa Samson sasa angalia namna nywele za Samsoni zilivyokuwa; Waamuzi 16:13 nywele za samsoni zilikuwa za vishungi "DREADLOCKS" au alikuwa Rastafari kumbuka samsoni alikuwa hajawahi katwa nywele zake tangu kuzaliwa kwake (hapa ndio chimbuko la marastafari) ni mtu mweusi tu asipokata nywele zake akiziachia zikakua zinaanza kutengeneza VISHUNGI au mwanzo zinakuwa nywele za kipiri hv angalia watu weupe wakiziachia nywele zao huwa zinakuwa ndefu na hazishikani kama za mtu mweusi angalia picha za marastafari weusi na weupe utaona utofauti mkubwa kati yao


NIMALIZE KWA HIKI KIFUNGU CHA BIBLIA KATIKA UFUNUO 2:9 SOMA HAPA CHINI KWA KJV

"Revelation 2:9King James Version (KJV)
9 I know thy works, and tribulation, and poverty, (but thou art rich) and I know the blasphemy of them which say they are Jews, and are not, but are the synagogue of Satan."

nimeweka chini picha za baadhi ya wayahudi wa afrika waliojulikana mpaka sasa
1.LEMBA PEOPLE
2.NIGERIA IGBO JEWS


angalia na hizi video youtube link hii hapa chini
 

Attachments

Last edited:

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,207
2,000
Kwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
 

Fyengeresya

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
739
500
Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
 

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,429
2,000
Mi nawazia hiyo laan unayoiongela wewe ya kumkataa Yesu,

Je Yesu hakusema baba wasamehe maana hawakui walietendalo? Je hakusema Imeisha, nini ilikua maana ya maneno hao,
Wakristo tuaminivyo baada ya Yesu kufa kila kitu kilifutwa na mambo yakaanza upya, ina maana hiyo laana yao haikuwa kwenye hesabu ya huo msamaha.

Pia hebu nisaidie hao wayahud unaowaongela wapo utumwani wapo nchi gan?
 

Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,823
2,000
Kwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
Hitler hakuua mtu wewe...
 

Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,823
2,000
Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Unajua Israel sio wema kama unavyoaminishwa be it from hivyo vitabu vyao mnavyo kesha mnasoma makanisani au kwenye media zao.

Kuna mengi nyuma ambayo hawataki myajue na kwakua na wewe hujitambui unapelekwa pelekwa tu kama puppet. Huku hao puppeteers wakikufanya ucheze wimbo wowote ambao wao wanaona unafaa.

Amka bhana, Kwanini Waafrika mnakua brainwashed kiasi hicho, we kila kitu ndio hata hutaki kuhoji !?!?
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,884
2,000
Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
kuhusu weusi,ukifuata history itakwambia kuna kipindi Cush empire ilijipanua mpaka misri hadi caanan,
wacush ni weusi,that is why,damu zikaingiliana.
Kuhusu huwezi faidika na kitu ukiwaunga mkono wapalestina,kwani kwa hawa wazungu wa israel unafaidika nini mkuu?,
netanyau kaja africa juzi hajaacha hata kitu cha kuonyesha atawafaidisha nini.
Heri wapalestina kipindi cha mapambano ya makaburu walikuwa na mchango wa katika mapambano.
Ukiona wayahudi wanakuletea msaada ujue kuna interest zao hapo zimejificha.

Kama sikosei kwa mjibu wa bible alieambiwa ,atakaekulaani nami nitamlaani,ni Abraham.
Abraham ni baba wa mataifa mengi sio israel pekee,
abrahamu hakuwa myahudi,

wayahudi ni watu cunning,wakayageuza maandiko,na kuiba baraka za Mungu kwa abrahamu ili ionekane wao ndo walibarikiwa.
Yaani kama yakobo alivyomtapeli babake isaka na kupora baraka za Esau,wana wa jacobo,yaani waisrael wakajiporea baraka zoooote za Mungu kwa abrahamu ziwe zao pekee,
wakayaspin maandiko na kujianzishia mungu wa taifa lao pekee,Hao ndio wayahudi wamejaa hila kuliko binadamu yeyote.
Wanatukuza kipande cha ardhi kuliko wanavyomtukuza mungu,kwasababu mungu wao anahusianishwa na mambo ya ardhi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom