Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Natatanishwa na hili jambo ambalo nimeanza kulisikia nikiwa mdogo hadi sasa nakuwa, nimeogelea baharini, nimewahi kuvua Samaki kama Mkunga, Ngisi, Ronaldo(Pweza) n.k lakini sijawahi kumuona huyo...
5 Reactions
417 Replies
338K Views
Wana JF, Kipindi fulani hapo awali (2010-2014) kulitokea mkanganyiko mkubwa pale watafiti fulani wa nchi za magharibi walipoiarifu dunia kuwa kuna michoro ya Helicopter na vifaa vingine ambavyo...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Poleni kwa majukumu ndugu.nmepata hizi facts sehemu nikaona si vibaya ku share na ndugu zangu wana intellijensia....ila naomba radhi kwa kutokuzitafsiri.. Do you know?? 1. Hot water will turn...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
nawasalimu jf members, kuna mwanajamvi alitoa uzi usemao mtu mweusi ndie alipeleka ustaarabu ulaya na asia, iyo si kweli bali kuanza kuhubiriwa kwa dini ya kiislam na mtume muhamad 7century...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
X lina maana gani kwenye jina la huyo mwanaharakati?
2 Reactions
79 Replies
21K Views
ILIKUWA Oktoba 10, 1465 - siku ya harusi iliyotarajiwa kuwa ya kufana sana ya Mfalme Alfonso II wa Naples. Alipanga kufunga ndoa ya kisasa na Ippolita Maria Sforza, mwanamke kutoka Milan, katika...
9 Reactions
2 Replies
3K Views
Wana ukumbi, Naomba awali ya yote nisionekane kama ni mtu ambae nimekuja kwa choko choko ama ni mtu mwenye mtazamo wa ubaguz.,la hasha nimekutwa na hili wazo na naomba nilete kwenu tulijadili...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kati ya vitu ambavyo mpka leo vinanipa shida ni kushindwa kujua ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi, kwa sababu kuna vitu mfano kisu ni kikubwa kinaweza kukita...
15 Reactions
111 Replies
33K Views
Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo? Labda umewahi kusikia kwamba...
7 Reactions
17 Replies
11K Views
Bila kwenda mbali jambo hili nalipeleka moja kwa moja kwenye mifumo ya ulinzi ya dunia hasa angahewa(atmosphere). Angahewa ni kama blanket ambalo limeizunguka dunia huku likiwa na hewa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa vile Balali alipelekwa kwenye matibabu huko Marekani, matibabu ambayo yalisababisha alazwe kwa muda mrefu; Kwa vile hali yake haikuwa nzuri na iliendelea kuwa mbaya hadi kumlazimisha...
0 Reactions
171 Replies
28K Views
Mnamo mwaka 1998 Jan Koum [Kulia kwenye picha ] alikutana kwa mara ya kwanza kabisa na Brian Acton [ Kushoto ] wote wakiwa wafanyakazi katika shirika la Yahoo. Walifanya kazi hapo kwa miaka 9...
14 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari WanaJF, Siku chache zilizopita niliota nimepigwa risasi,na hakika nikaiona mauti, na hata nilipoamka baada ya ndoto, nilikuwa nikiyajua maumivu ya mauti yalivyo. Suala hili...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Awali ya yote niwatakieni heri ya chrismas na mwaka mpya. Ndugu wanaJF kuna mada huwa naiona lakini nmeshindwa kabisa kuielewa, kama wengi tunavyofahamu kani ya uvutano ndio huvivuta vitu vyote...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Serikali na mamlaka zake inadai inaendelea kupambana na vitendo vya kuchakachua mafuta ya dizeli na petroli, lakini ufuatiliaji niliofanya unaashiria kuwa baadhi ya watendaji ndani ya serikali na...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu wa Wakristu na Wayahudi), Kitabu cha Kwanza cha Nabii Musa kiitwacho Mwanzo (sura ya 12), kinaonesha...
10 Reactions
238 Replies
37K Views
Natumaiii m wazima wote humu Leo tulichungize kidogo Bomu ya Hiroshima Bomu lilolipua miji Japan hadi leo limeleta athari Baada ya kulipuka cheche za bomu zilisambaa zaidi km 900 yaani kama...
10 Reactions
37 Replies
10K Views
Natumai mko poa wakuu. Leo tunaendelea tena na kufahamishana juu ya madude yaliyo ktk mfumo wetu wa jua, hebu tuiangalie sayari ya Mars kwa undani zaidi. 1. Sayari ya Mars ni ya nne (4)...
13 Reactions
93 Replies
27K Views
Back
Top Bottom