Nikola Tesla kwa msemo huu alimaanisha nn?

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,611
,, "if you only knew the magnificence of the 3,6 and 9 then you would have a key to universe"
Mwenye kufahamu kwa undani atililike, kwa vip naweza tumia number hizi 3,6,9 ktk nyanja mbalimbali za maisha ya kila siku na zikaleta mafanikio.
1518902600558.jpg
 
hiyo sini michoro ya kiidadi.. ambayo imetungwa na binadamu.
kama unataka kung'amua hiyo michoro 3,6 na 9 inauhusiano gani na ulimwengu ni lazima tutambue uhusiano uliopo baina ya hizo namba na ulimwengu!.
binafsi naona ni lugha yakinamba.
ila huenda zikawa ni ufunguo wa ulimwengu lkn chakwanza nachotaka kujua kuna uhusiano gani kati ya hizo namba na ulimwengu..?
 
Sijajua kuhusu hizo namba ila dunia imekaa kimahesabu sana maana hata Mungu mwenyewe alitumia mahesabu na namba kwenye uumbaji.

Jiulize pia kwanini siku za mzunguko wa hedhi ya kila mwanamke umekaa kimahesabu.
 
Uzi umekosa wachangiaji ,ttzo hata Nikola mwenyewe hakuchambua uhusiano wa hizo tarakimu na ulimwengu.How dare we,hata kama ipo kwenye slogan ya Jf.Were we dare
 
Huyo jamaa ni noma sana alishawahi kutengeneza machine ya kusababisha Earthquake miaka hiyo.
 
Wewe unatuletea maswali ambayo hata hao wanaojiita wanasayansi waliopiga hatua kubwa kiujuzi na maarifa wameshindwa kung'amua Tesla alimaanisha nini, kila mmoja anakuja na theory yake. Kama hao wameshindwa unafikiri kuna Mbongo mwenye uwezo wa kung'amua hiyo siri ya 3,6,9?
 
Kuna ukweli hapo. Mimi ktk mambo yangu fulani ya kifomula ninaongozwa na tofauti ya 3 na 6. Na ninapohesabu ninaishia 9. Na siku zote nina limit namba kwenye mamoja (ones) sina makumi(tens). Na ninapokuwa na tarakimu mbili pacha tofauti lazima iwe ni 3 au 6 km nilivyoeleza juu ili kunipa green light. Mfano 1&4 tofaut ni 3, 3&6 tofaut ni 3, 9&3 tofaut ni 6, n.k n.k. Kuandika nayo tabu. Kwa hiyo ni kweli tupu.
 
kwani nikola ni nan !? tatizo mnapenda fata misemo ya watu maarufu mkiona sijui wameshushwa !! hamna neno la mtu ambalo ni sheria just live your life ....nikola enyewe si tajiri wa dunia
 
Back
Top Bottom