List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by LeoKweli, May 16, 2009.

 1. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.  1. Africa Tanneries Ltd- Mwanza
  2. Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGOR
  3. African Trade Development Group (Tz),
  4. Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
  5. Caspian construction
  6. New Habari corporation
  7. Wembere Hunting Safari company – with Akram Aziz
  Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.
   
  Last edited: May 16, 2009
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nini kipya hapo? Au deal kuandika jina la Rostam... maana hayo makampuni ndio aliyoorodhesha kwenye tovuti ya Bunge miaka kadhaa iliyopita.
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Sawa anaweza kuwa anayamiliki makampuni hayo, sasa hoja yako hapa ni nini hasa; uchumi na biashara au ufisadi? maelezo ya hoja hayatoshi!
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  May 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo yeye hawezi kumiliki kampuni unataka nini wewe ? Kuna waswahili wenzako wana kampuni zaidi ya hizo wametulia na wanazidi kuchanua andika hoja za maana sio za kibaguzi kama hizi

  wacha kuharibu jukwaa la jamii
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...... so ? ? .........
   
 6. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunaendelea kuangalia uhusiano uliopo katika Mzunguko wa wizi wa pesa za Masikini wa Tanzania
   
 7. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nina uhakika Wembere Hunting Safari company na Tanzania Packages Manufacturing Co haipo kwenye tovuti ya bunge
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  May 16, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mirambo pia..
   
 9. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wengi ambao wamejificha nyuma ya Huyu mheshimiwa... Na ndio nao tunataka tuwafahamu..........tutasafisha this year mpaka tuhakikishe everything clean .....
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  May 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Njia rahisi na yenye maslahi kwa nchi na kizalendo ni mahakamani kama una ushahidi zaidi ya hapo umeingia mkenge labda uanze kutafutwa wewe kwa kupotosha ummah

  unajua kwamba mtu anaweza kuushitaki mtandao wa jamii mahakama ikaamuru mawasiliano yako na taarifa zako zingine zitolewe kwa maslahi ya nchi ?? Unajua kwamba hilo linawezekana ?

  Ndio utajua kwanini hizi chat huwa zina printiwa na kupelekwa kwa wenyewe wazisome
   
 11. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Najua hilo linawezaka na sipo hapa kwa woga! Nina nguvu usizotegemea.Kungekuwa na utawala wa sheria unauonglea wewe hao mafisadi wasingekuwepo mitaani.

  Watanzania wameshachoka na kama huamini yanatowatokea vibaka kama huyu si kizuri na hakikubaliki kisheria lakini kitawafikia mafisadi
  [​IMG]
   
 12. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Natamani ningekua kama Rostam.. yaani katika umri mdogo tu ameweza kuyafanya yote haya ... huyu jamaa anaweza kuwa moja ya genius wachache!maana kiukweli nchi yetu ilivyo huwezi kuniambia mtot mdogo kama Rostam anvyowashika wazee masikio halafu tusimkubali

  Asikiaye na afahamu.....
   
 13. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uwezo wake hakuna anayeukashfu ila tatizo ni matumizi yake sasa? There are people who have power to build and other ho have power to destroy , sijui wewe unmweka jamaa kwenye kundi gani?
   
 14. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ....Inawezekana sio U-genious as such ila ni mambo ya kuwa na jicho moja miongoni mwa vipofu!
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Tawire. Ni bahati mbaya tu kuwa hadi sasa tumo kwenye toothless maapizo na dua za kuku nyingii zisizompata mwewe badala ya kufanya kama tunavyomfanya huyo mdogo wetu aliyeiba TV tu hapo juu!!
   
 16. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Nikiwa Form 1-4 nilikuwa nasoma vitabu vya James Hadley Chasse na Nikki Carter kuhusu upelelezi.Baadaye nikaanza kusoma vitabu vya upelelezi kuhusu Matukio ya kweli kama Ya akina Illich ramirez Sanchez AKA Carlos na akina Mohamed Bodie MAlgeria ambaye alikuwa ni copy right ya carlos Mvenezuela.Nikasoma undava wa Kimafia kutoka visiwa vya Cicily Italy,na Yakuza ya kule Japan, mpaka Historia za Shogan kama Iyayasu na jinsi Wajapan watianavyo adabu kwa kufuata Hiarachy ya Kiyakuza..Nimesoma Historia nzima ya Mapambano ya Middle East kati ya Israel na Plaestine.Kukua na kuanguka kwa Empire ya Kiislam, unadava wa USA na mengine meni.Masimulizi yote haya yana jambo moja kubwa ambalo ni common.Huwezi kupambana na kushinda kama hujui adui yako ni nani na pia hujui ukubwa au upana wa milki ya adui yako.Rejea Gazeti la Sani. Ile simulizi ya Jambo limezua jambo ndo inatakiwa hapa.KWa nje tunaona chungu kikubwa na kupata harufu nzuri ya supu ya jogoo ukifunua mfuniko unamuona mzee Sani kajaa tele ndani ya chungu huku akitabasamu, Unajiuliza mzee Sani anatafuta nini ndani ya Chungu.Tukifuatilia Trail za Kampuni zote zenye mkono wa Rostam Azizi ni lazima tupate ukweli ulio kamilika kuhusu mtu huyu Rostam Aziz. Kikubwa zaidi tutagundua who is Behind Rotam Aziz because Rostam Aziz as Himself he is Nothing, he is equivalent to Jug s.Pweza ana mikia au miguu 8, yukipambana na Pweza ni uijnga kuangusha sherehe na kushangilia ushindi baada ya kukata mikia miwili ya Pweza, kwa sababu ile6 ilo baki itakurudi mkwa kipigo cha mbwa mwizi.Utafiti juu ya mambo yasiyojulikana huanza kwa kutafiti na kuzingatia kwa dhati na kina ukweli ujulikanao kutoka katika mambo yanajulikana. Mahali pa kuanzia ni mwanzo.
   
 17. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Madela,
  Hapo umenena , unajua watu huwa hawaamki asubuhi tu wakaingia kwenye uhusianiano wa kibiashara bila kuwa n ukaribu wa kazi na kuaminiana.Inaonesha Mohamed Enterprises ana Imani sana na RA ambaye watanzania hatumwaamini ,ndio maana wanauhusiano wa kibiashara kupitia Tanzania Packages Manufacturing Co, Ndio maana swali langu nililiacha wazi, je wanauhusiano zaidi ya kampuni hiyo? je kuna kampuni ngapi chini ya mohamed enterprises ambazo zinamficha RA?Ni maswali tunayohitaji majibu.
   
 18. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Hivi we SHY unajua unachokiongea kweli wewe??? Mbona unaleta vichekesho visivyo na maana hapa,, kama unaona huna points za kuongea kaa pembeni angalia watu wanavyotoa maoni yao sio kukurupuka kuandika tu au unataka uongeze idadi ya post???

  Shame on u
   
 19. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Shy hii mbinu ya kutisha watu kwa kuspeculate issue kama hizo ni ya kizamani sana na imekwisha tumika mara nyingi huko nyuma na Waumini wa Ufisadi ikabuma kishenzi, angalia kinachotokea Busanda leo hii.
  Angalia kijana Zitto anavyowamwagia Upup makalio Mafisadi waume kwa wake ili wajikune??

  Kama kuna mtu anataka kwenda Mahakamani aende tu, hiyo ni haki yake ya kikatiba.

  Sisi hatuwezi acha pumua mawazo yetu hapa eti kwa sababu tunaogopa maneno yetu yanaweza geuka kuwa ushahidi mahakamani.

  tunajua Internet siyo siri, tunajua tunejificha huku hatujajificha. Kifupi tunajiridhisha wenyewe kwamba watu ikiwa ni pamoja na serikali na Usalama wa Taifa hawajui Madela ni nani.

  Wakitaka hata kesho wanaweza nipata mimi na mtu yeyote hapa Mtandanoni, knacho washinda ni kimoja tu Hawana Uzalendo wa kufanya hivyo.

  Kifupi hakuna tunayemwogopa.
  Kuanzia Usalama wa Taifa mpaka serikali kwa pamoja vimebeba na kuenzi Ufisadi.
  Watu watapigwa virungu damu itamwagika, watu wataswekwa lupango wengine watapoteza maisha,lakini Wazo Hili halitavurugika, kupotoka wala kufa ila ufisadi nilazima ufe.
  Na tunaamini kwa dhati adui yetu tutampapasa kende zake na kuzicastrate kisha kumpa kilicho haki yake in our life time.

  Mahakamani kungekuwa kuzuri kiasi hicho unachodhani Mafisadi siwangefunguwa kesi kila siku kwa kuvuliwa nguo za nje na za ndani na kushikwa pabaya??!!

  You need the so called "Critical Thinking""
   
 20. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yes brother, I salute you comrade. We are here for our country. Hakiogopwi kitu kama ni kifo, ni hatima ya wote. We need to send a message, a very strong message.
   
Loading...