Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,247
Mithali 3:19
19 Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi;Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;
Ukienda katika makanisa ya kileo msisitizo ni miujiza na sio matumiz ya akili, lakin ukifuatilia maandiko yanaenda kinyume kabisa na Mafundisho ya baadhi ya makanisa ya kiroho.
Kwanza kabisa najiuliza haya Mafundisho yametoka wapi, kwa sababu kwenye biblia hayapo, ilinibidi nifuatilie kiundan je ni kweli tumeumbwa kuishi kimiujiza? Na kwanin baadhi ya wahubiri wanatilia msisitizo wa haya mafundisho.
Nilichogundua ni mafundisho potofu kwasababu kama Mungu alitumia akili kuumba dunian kwa nin sis hatutumii akili, na kwanin alitupa akili kama anataka tuishi kimiujiza. Kwa hy nikaja na hitimisho kwamba haya ya kusisitizia miujiza na sio akili ni Mafundisho ya kidin na sio ya ki-Mungu.
Na kutokana na wapendwa kutokutumia akili na kutegemea miujiza, wamejikuta zile ahad za kwenye Mungu hawazion kwenye maisha yao, Kwa sababu utarithi ahad kwa akili zikiingia kazini na sio miujiza