Hizi ndo sifa za kuwa mlinzi wa Rais

Hizi ndo sifa za kuwa mlinzi wa Rais

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,335
Hizi sifa nimezitoa nchi moja hivi siitaji jina.
  1. Lazima uwe mzalendo wa kweli wa nchi yako
  2. Usiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa
  3. Uwe na IQ kubwa
  4. Uwe na mafunzo ya kijeshi
  5. Upitie mafunzo ya kijasusi na kulinda viongozi wakubwa
  6. Ujue kutumia silaha zote kwa usahihi
  7. Uwe na Black belt ya aidha Kungfu au Judo (Combat Karate lazima ujue)
  8. Usiwe mpenda starehe
  9. Usiwe na tamaa yoyote ile
  10. Uwe tayari kufanya kazi hata bila mshahara .

-Wenyewe wanajua namna ya kuwapata watu wa aina hiyo kupitia vetting na usaili mgumu hasa kabla ya kuwaandaa Kwa hiyo kazi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 2 Sina iman nayo, Huyu wa sasa hivi tulianza kumuona Na Uncle wapo wote kwenye vikao vya Chama na Hata baadae kwenye campaign za kuwania kiti cha ikulu, mbaya Zaid alikuwa anapiga uniform za Chama kama Yule baloz wa China kwenye mikutano ya Bw. Abraham kabla hajaacha ukatibu wa Chama tukufu,

Tena kikubwa Zaid ndugu yake Enzi zile alikuwa spika, japo na yeye baba yake ndo alikuwa mwenyekiti wa TANU youth league mkoa Wa Arusha, miaka ile mwl Bado yupo madarakan.
Ila baadae akakataliwa mbali km yaliyomtokea mzee Mosses Nnauye,
Sema yy alipata promo akaenda kuwa baloz Huko ughaibun, ila familia ilibaki huku nyumban,

Kwa Hiyo kuwapata walinzi hao lzm kuwe list ndefu huezi kuwa hivi hivi ukasema Hiyo ni vetting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sifa nimezitoa nchi moja hivi siitaji jina.
1.Lazima uwe mzalendo wa kweli wa nchi yako
2.Usiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa
3.Uwe na IQ kubwa
4.Uwe na mafunzo ya kijeshi
5.Upitie mafunzo ya kijasusi na kulinda viongozi wakubwa
6.Ujue kutumia silaha zote kwa usahihi
7.Uwe na Black belt ya aidha Kungfu au Judo (Combat Karate lazima ujue)
8.Usiwe mpenda starehe
9.Usiwe na tamaa yoyote ile
10.Uwe tayari kufanya kazi hata bila mshahara .
-Wenyewe wanajua namna ya kuwapata watu wa aina hiyo kupitia vetting na usaili mgumu hasa kabla ya kuwaandaa Kwa hiyo kazi


Sent using Jamii Forums mobile app
8 na 9 uongo
 
Hiyo namba 10 HAPANA SIIWEZI hizo zingine naweza kuwa nazo
 
Vigezo vyote ninanvyo ila kigezo namba 11 cha mtu asiye piga punyeto No siwezi..... Ndiyo kitakacho nishinda
 
Eti IQ kubwa! What a garbage!!! [nimehisi kutapika]

Vile wanavyotumbua macho na kuvaa mawani meusi ya buku buku ndio IQ kubwa!!??

NO WAY, sio kwa Tanganyika hii!!
Mkuu tapika tu naona umechelewa mno kutapika,Bongo Hakuna mlinzi wa Rais mwenye sifa hizo nilizotaja, kwa hiyo fanya haraka utapike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom