Hugo Chavez ni shujaa wa itikadi ya Ujamaa mpaka kifo kilipomchukua Machi 5, 2013. Watu wenye imani isiyoyumba ya falsafa zote za Mrengo wa Kushoto (Left-Wing), kwao Chavez alikuwa jemedari kinara...
Kwanza nawasalimu kwa amani na furaha juu ya wrote walio katika mda huu macho. Mm binafsi ni MTU ambae najipambanua kuwa napinga na nazichukia dini za nje ndani ya bars la Afrika.
Na katika hili...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya China imesema, Jeshi la Ukombozi la Watu la China limetoa misaada ya vifaa vya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona kwa majeshi ya nchi 20...
PART 1; MEN IN BLACK.(MIB) [emoji117]Men in black ,hawa ni wanaume wenye kuvaa suti nyeusi ambao ni Agent wa serikali ,wanao fanya kazi ya kuzuia usambazwaji wa taarifa/siri zenye ushahidi...
Habarini wakuu wa jukwaa hili.
Leo nimeona ni vema tushirikishane machache kuhusu COVID-19 lakini hasa kuihusu chanjo na maandalizi ya kumtawala binadamu.
Hivi karibuni kwenye mahojiano na...
I can't breath ni kauli ambayo Kama duru za kiusalama hazitacheza vizuri pale
Marekani inaweza kubadili mfumo wa kisiasa au kumuathiri Trump kisiasa kwenye uchaguzi ujao. Bado Hali ya hewa...
Hii ni kesi ya mauaji ya binti wa miaka saba aitwaye Maria Ridulph aliyezaliwa March 12, 1950 huko marekani katika mji wa Sycamore uliopo kata ya Dekalb katika jimbo la Illinois.
Mnamo December...
Salaam ndugu wa jf
Natumai wote ni wazima huku tukiendeleza gurudumu la maisha mbele
Bila kichelewa naomba niingie moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kiilezavyo
Hii ndiyo...
Universe yetu ina takribani miaka 93 Billion Light years. Ninaposema 93 Billion Light years ninamaanisha kwamba ili uvuke Universe yetu ni lazima kwanza usafiri kwa speed of light yaani Kilometre...
Salam Wakuu!.
Pitia hapa kidogo upate mawili matatu kuhusu hii inaitwa MAELEWANO RAFIKI NA ULIMWENGU (Harmonic relationship).
Kanuni ya msingi ya ulimwengu ni ile ya utaratibu(Order), pale...
Kakobe amempongeza Rais Kibaki kwa kuchaguliwa tena. Mwanzoni niliposoma mstari wa kwanza nilishtuka na nikaanza kusema huyu Askofu kapatwa na nini tena. Hata hivyo kadri nilivyoendelea kusoma...
habari wanajf niende moja kwa moja kwenye mada nimekua nikisikia toka kwa viongozi wengi wa dini na hata kwa wasio viongozi wadini wakisema kuwa sisi sote ni uzao wa adam na hawa....lakini swali...
CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani.
Mimi dada yenu na urembo na umri wangu...
Dunia ina maajabu yake. Basi leo tuangalie baadhi tu ya maeneo ambayo hukufikiria kama yanaweza kuwepo duniani na utastaajabia maajabu ya Mungu katika uumbaji wake.
1. Gates of Hell
Eneo hili...
Well knowledge is power find out where and why for the past 500years our history,culture and our artifacts have been stolen and branded ''white'' civilization by the albinos(white men).
Kingo...
Ndugu zangu wa JF naomba kupata uelewa zaidi ya Room 39 ya Korea ya Kaskazini. Nimejaribu kuperuzi nimepata machache tu nimeyakopy hapa chini..please mwenyewe uelewa zaidi naomba atiririke...
Pet" girl kicked off bus for wearing leash
A British bus company has apologized to a girl who is led around on a leash by her boyfriend and describes herself as a human pet after one of its...
Jambazi sugu mjini Boston James "Whitey" Bulger amepatikana akiwa amefariki katika jela moja eneo la West Virginia nchini Marekani.
Jambazi huyo mwenye umri wa miaka 89 alifikishwa katika...
SOMETIMES TERROR MUST BE USED TO FIGHT TERRORIST THEMSELVES. KUNA WAKATI UGAIDI NI LAZIMA UTUMIKE KATIKA KUPAMBANA NA MAGAIDI WENYEWE.
Picha za video za hivi karibuni zilizokuwa zikionesha...