Was this Murder or suicide?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,083
8,374
Seen endless conv somewhere trying to relate the scene with possible causes of death. What do u think, was this murder or suicide?

ImageUploadedByJamiiForums1460979182.516885.jpg
 
Suicide, alikaa bila hofu na kuanguka bila papara. Risasi ikapitiliza mpaka ng'ambo ya mto. Dah!
 
Hiyo ni murder .......alikuwa amekaa Kwenye kiti kama ni suicide pistol ingekuwa mkono wa kushoto sababu mark ya damu ipo ukutani kulia .....alivyo lala km alikuwa amekipa mgogo kioo cha kujiremba ambacho si kweli....
 
Kweli, inawezekana muuaji alikatwa na kioo wakati anaruka dirishani
 
-Kiti kuangushwa... mtafaruku wa kwenye kujihami.
-Kandambili kubakia moja. Si rahisi uvae kiatu kimoja tu.
- ukijipiga na bastola kwenye kutapatapa na roho bastola lazima utaiachia.
- Sigara kubaki mkononi vizuri, siyo kawaida kwa mtu anayeendea kufa.
- kama angejipiga mwenyewe damu zingeruka na kutapakaa... kama amepigwa na mtu.. kuna uwezekano wa kushikiliwa ukutani na kupigwa risasi alafu kutolewa bila kuburuzika kwenye ukuta na kuacha michirizi... na kulazwa chini vizuri...

Huo kauliwa... She has been Murderd.
 
Hiyo ni murder, alikuwa caught unawares akajaribu kujidefend. Sigara mkononi ni indication kuwa alikuwa relaxed, mtu anaecommit suicide hawezi kuwa mtulivu namna hiyo.
 
Wataalam wanasema wanasema hiyo itakuwa ni suicide kwa sababu bado anasilaha mikononi pamoja sigara yake, vitu ambavyo alikuwa ame hold tightly.
 
Wataalam wanasema wanasema hiyo itakuwa ni suicide kwa sababu bado anasilaha mikononi pamoja sigara yake, vitu ambavyo alikuwa ame hold tightly.

Hata mm naona hivyo kwa sababu:
: dirishani kuna damu, huenda ni ile bullet ilitoka na damu
:sasa kama ni murder, damu ya marehem imefikaje dirishani?
: mtu apigwe risasi na awe bado ameshikilia sigara?

Ni suicide kwa sababu
: huenda hapo alikua anasoma divorce report, au madeni ya loans au bills akaona dah isiwe tabu najiua
 
This is a murder and frame as suicide.
If the victim were to commit a suicide the gun wouldn't be on her hand.The act of committing suicide is terrifying.I will bet Tsh 1000 is a murder
 
MURDER.silaha mkononi imeshikwa vice versa which indicates aliwekewa baada ya tukio.sigara mkononi yaonyesha hakua "amejiandaa" kufa/kujiua au nayo aliwekeewa baada ya kuuawa.na pia kutoka kiti kilipo hadi damu na usambaaji wake ukutani inawezekana hata silaha iliotumika sio hiyo alioshikishwa kwa kugeuziwa mkononi...ni kama ilitumika kubwa zaidi na kutokea mbali hakua aware.....am no expert,just analysing the scene
 
mtu hushika sigara kwa ulemkono anao utumia zaidi i.e kama ni lefthanded then atatumia left kuvutia feg like wise kwa gun, so kama ingua suicide hyo feg angeiweka chini kwanza iliajilipue fresh or ingekua mdomoni if she was that much of an adict
its a murder (according to mimi)
 
Back
Top Bottom