ATCL anzisheni ofa ya kupanda ndege, pia wabunge wapelekeni Dar wapiga kura ambao hawajawahi fika

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Wengi wanahamu ya kupanda Dreamliner. ATCL tunaomba mtenge siti mbili tu kwa week watu waweze jishindia bahati nasibu ya kupanda bure go and return, itapendeza sana.

Waheshimiwa wabunge, wapelekeni jijini Dar japo wapiga kura wenu kumi tu. Mara mbili kwa mwaka wakaone bahari,nakumbuka nilikuwa naona aibu sana angali tukiwa wadogo kama hujafika Dar, na nilipofika nilishangaa sana hasa bahari na namna bichi wanavyovaa, ilipendeza sana.

Watu ambao hawajafika Dar na kuiona bahari na meli kubwa wanaumia sana kimbilio ni kwenu waheshimiwa wabunge.
 
Back
Top Bottom