Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,556
Biblia inatuambia hii ndiyo ishara ya mwisho wa ulimwengu.
Watu kujali pesa na kujipenda wenyewe.
Yataibuka Magonjwa ya kuenea
Njaa, Vita baina ya mataifa pamoja uhalifu kushamiri
watu watampinga Mungu..Hadharani
Watoto hawatowatii tena wazazi wao.
Wataibuka manabii wengi wauongo..na watatenda miujiza mingi.kwa kutumia jina la yesu
na mengine mengi katika ufunuo,mathayo.nk
Na haya hayana budi kutokea..