Salamu wakubwa
Kila mara katika pitapita zangu kwenye mitandao na majarida ya ugunduzi wa teknolojia na habari za mambo ya “space” nimekuwa nakutana na jina la huyu jamaa ELON MUSK
Nimemwona...
Habari ndugu zangu,
Maswali yangu nitayafikisha kwa kuandikwa kwa kirefu kidogo.
Hivi ni nini huwa kinafanya nchi fulani kuwa na vyombo imara sana vya kijasusi?
Wanafanya kazi vema sana kuanzia...
Ni jambo la kushangaza sana kukuta kitu fulani kipo kila kona na miaka hiyo ilikuwa si rahisi kufikiana kufanya jambo kwa kuambizana,ila kuna vitu vinaweza kutufikirisha na kushindwa kuchambua...
Ni ngumu kufahamu kama utakuwa mfatiliaji wa mambo ya sayansi kiujumla.
Napo sema mbingu saba kisayansi tunasema ni matabaka saba ambayo ukiweza kuvuka basi utakuwa umetoka nje mbingu ya saba...
Habarin wana jamvi wa JF , natumain mpo poaa na mnaendeleaa na harakati za kulijenga taifa .
Niende moja kw moja kwenye mada husika..kuna hal ambayo inatokea katika maisha yangu ya kila siku watu...
AKIWA Kijana, alifanya tukio. Hakujuta. Na akasahau. Akaishi miaka 44 mingine. Ndipo akatokea mtu akamkumbusha kile alichokifanya. Akaumia. Akatamani asahihishe makosa yake. Hakupata fursa hiyo...
This was a while ago:
2005-04-26 22:02:07
By The Guardian Election Watch Team
Current President of Zanzibar AMANI ABEID KARUME has his incumbency facing a big challenge, both from within and...
Aokigahara au msitu wa kujiua au bahari ya miti ni msitu ambao una ukubwa wa 35 square- kilomita ambao uko karibu na milima ya fuji huko japan
msitu huu ni msitu ambao mbali ya kuwa ni kivutio...
Kumekuwepo mitazamo kinzani ya miaka mingi juu ya muonekano halisi wa Yesu Kristo, Mnazareti, Masihi na Mwana wa Mungu (katika perspective ya kikristo).
Kutokana na Yesu kuzaliwa katika enzi za...
wana jamvi, Amani iwe nanyi...
Tanzania yetu mwenyezi Mungu ameibariki kuwa na Amani na mshikamano ingawa kuna akina akina bashite and co. wanataka kuigeuza somalia kwa matukio ya...
Elimu yetu ya sasa ni kama chupa tatu kubwa; Moja ya nusu lita, nyingine ya lita moja na nyingine ya lita mbili. Zote hizi baada ya kujazwa maji kiwandani zilifungwa vizibo.
Chupa hizi ni...
Habari zenu wanaJamvi
Ni wendelezo wa habari za anga za juu (Space) Tiangong-1 neno lenye maana ya "Heavenly Palace" kwa tafsiri isiyo rasmi yaani kasri ya mbinguni ina uzito unaokadiriwa wa 8.5...
Ni vingi ndani ya anga kutushangaza lakini sayari hizi mbili imepita miaka 800 tokea kukutana.
Sayari hizo mbili zitakutana kwenye upande wa capricornus
Tukio hilo tarehe 31 -12 -2020
Tokea...
Fahamu athari za kuangamia kwa wanadamu
Ushawishi wa binadamu Duniani umefikia kiwango ambacho sasa unashawishi matukio yaliopo
Wanadamu daima wameathiri kwa njia moja au nyengine masuala yao...
For years, Black people have been seen and treated as less humans and in some cases were even called monkeys, but recent DNA study proves that Black people are actually the only ones with 100%...
habari ya asubuhi wadau!
usiku wa leo ni mara kama ya saba hivi (sio mfululizo lakini) inanitokea ndoto hii ya kuota kuwa kuna radi kali zinapiga!
ninakuwa kama niko nusu macho na nusu nimelala...
Ni vigumu sana kuelewa na wakati mgumu kutafuta,labda usubiri maoni au uzi tu.
Tuachane na hayo
Dunia ina kila ya kilichomo kama makusanyiko yaliyo ndani hapa.
Kueleza kwa mambo kama haya ni...
Straight to the topic.
Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani.
Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine...
Bill shaka mko poa! mkijiandaa kuuaga mwaka na kuingia mwaka 2021.
Niende moja kwa moja ktk hiki ambacho anata kujua kutoka kwenu!
Kumegunduliwa virusi vipya vya covid 19 huko Uingereza, na...
Historia ya mnara wa Babeli inaelezwa kwa undani kwenye biblia katika kitabu cha Mwanzo 11 katika mistari michache tu. Hii ni stori fupi tu ya mnara wa Babeli unaweza kusoma kwa undani katika...