Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
633
857
Hivi ndivyo mdomo wake ulivyo kwa ndani
Picha na buzzfeed
main-qimg-fbdff368dce2fc98358809e035b06603.jpg


Watu wengi wamekua wakijiuliza sana kuusu mdomo wake unavyotisha
main-qimg-6ddc07bcafd04554ceea9f12db174598.jpg


Ukiingia kwenye account ya ig kwa brykim official kwa kutumia biology na illustrator ameelezea vyema kuusiana na mdomo wa kasa
main-qimg-727ebdb1e22aaf369dea61e5a640b843.jpg


Izo miba za mdomo kwa kasa humsaidi kasa kuto kutapika kama ulikua aujui sasa

Maana pale wanavyo kula jelly fish huingiza kiasi kidogo cha maji tumboni

main-qimg-08450793137a1dd25483647d5303f5f3.jpg


Hiyo miba throne humsaidia pale anapo tema maji kumtrap jellyfish kubakia tumboni kwake (husaidia chakula kubakia tumboni mwake)

main-qimg-3a1c8ac40bec35c5f2634cc41d7ecb20.jpg


Kwa hiyo i system ni kama inverted system filter
main-qimg-15c4c75bc63442e14f61400e18bbadec.jpg


Apo usiogope sio kama anaumwa ilo ni jambo lakwaida mno yuko sawia kabisa
Apo ni anatapika maji ya bahari yenye rangi nyekundu kutokana na maji ya bahari nyekundu baada ya kula seaweed

Hii concept iko kama ya samaki anavyokula chakula baharini nakutoa maji kwenye gills

main-qimg-04b3d91958ec0fd539dd174f385c6842.jpg


Mda mwingine kasa ujichanganya na kula plastic bag zilizo baharini akizania kua nazo ni jellyfish

main-qimg-54180261465adf8f9b01068412f3ecaa.jpg


Maskini anaskitisha e?
 
Kasa mtamu jamani japo ni illegal...nakumbuka sana pande za Mikindani
 
Mlimlaje tena!??
[/QUOTE
Analiwa huyo mkuu tena mtamu sana tatizo kesi tu.
Muuzaji alikua na namba za Wateja wake wote..basi Kasa akipatikana tu msg inakufikia na unafika eneo la tukio kilo niliacha 6k...unakuta magari ya mabosi yamepack kama yote hivi...kifupi hicho kiumbe ni kitamu bwana japo kina kashombo Fulani hivi ila ikitengenezwa poa...who is Mbuzi?
 
Hivi kobe wa majini ni kasa au kasa na kobe ni viumbe viwili tofauti? Labda sielewi.
Ninavyojua mimi kuna kobe na kasa
Kobe = Tortoise
Kasa = Turtle
 
Hivi kobe wa majini ni kasa au kasa na kobe ni viumbe viwili tofauti? Labda sielewi.
Ninavyojua mimi kuna kobe na kasa
Kobe = Tortoise
Kasa = Turtle

Kasa ni kiumbe wa majini (hasa maji chumvi). Aquatic animal.

Wakati kobe ni kiumbe wa nchi kavu (terrestrial animal).

Wawili hawa wana vitu kadhaa kibaiolojia vinavyofanana, wana ''undugu'' fulani. (evolutionary similarities).
 
Kasa ni kiumbe wa majini (hasa maji chumvi). Aquatic animal.

Wakati kobe ni kiumbe wa nchi kavu (terrestrial animal).

Wawili hawa wana vitu kadhaa kibaiolojia vinavyofanana, wana ''undugu'' fulani. (evolutionary similarities).
Kasa sio kobe na kobe sio kasa. Faqat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom