Je wanadamu tuna FREE WILL??

Forest Hill

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
687
Likes
846
Points
180
Forest Hill

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2018
687 846 180
Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
24,995
Likes
32,606
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
24,995 32,606 280
free will tuitoe wapi ??wakati tumeambiwa kuwa binaadamu anakufa kwa sababu adamu na Hawa ambao ndio binaadamu wakwanza kwa mujibu wa imani walikula tunda """
kwahiyo binaadamu wote tunaitumikia adhabu ya watu ambao hata kuwa jua hatuwajui ...na bado watu tunaimba na kumsifu Mungu anayetuadhibu kwaajili ya makosa ya watu wengine ..Mungu ambaye ndiye muweza na mjuzi wa yote. ..means alikuwa anajua fika at a muumba binaadamu na atashindwa kufuata baadhi ya sheria zake kisha akamuandalia moto aje kumchoma ...hapa waweza kuona kuwa Mungu huyu ni Mungu wa visasi kama serikali ya bakayoko ...
 
katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
 
K

kabagambe rubajuma

New Member
Joined
Oct 14, 2017
Messages
4
Likes
3
Points
5
K

kabagambe rubajuma

New Member
Joined Oct 14, 2017
4 3 5
I think tunayo free will coz you are the one ambaye unaa amauu kuhusu wewe and God bless us what we want and what we want to be
 
Forest Hill

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
687
Likes
846
Points
180
Forest Hill

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2018
687 846 180
au Africa masikini coz serikali zetu dhalimu au laana kama baadhi ya watu wanavyodai??mungu kaamua tuwe hivi wenzetu wawe vile??au maamuzi yetu ndio yametufikisha hapa??
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
24,995
Likes
32,606
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
24,995 32,606 280
katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
hoja yako hii inakupatia jibu LA wazi kabisaa kuwa hatuna free will"""
mjadala ulipaswa kuishia hapa mkuu

asante
 
Benfamous

Benfamous

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Messages
481
Likes
349
Points
80
Age
22
Benfamous

Benfamous

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2016
481 349 80
Unajua me nashindwa ata kijibu swali eeeh. Nimesha changanyikiwa apa

Sielewe ivi tuna free will au hatuna.?
 
MGILEADI

MGILEADI

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,629
Likes
1,451
Points
280
MGILEADI

MGILEADI

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,629 1,451 280
Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
"Free will" ama "Volitional Will" ya mwanadamu ipo isipokuwa inazidiwa na "Sovereign will of GOD". Suala la "Fate na Free Will" linazungumziwa sana katika mijadala ya Philosophy of Religion. Nitaendelea.
 
Banyasa

Banyasa

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
238
Likes
187
Points
60
Banyasa

Banyasa

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
238 187 60
Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Look Forest Hill!
Wengi watu maisha yetu yaliishaamriwa na maagano ambayo mababu zetu mpaka kuazaliwa kwetu waliingia maagano na viti vya enzi. Viti vya enzi ni nafasi za utawala zenye mamlaka juu ya vizazi vilivyopo na vitakavyokuja yangu Adam mpaka ulipozaliwa. Sasa ulipozaliwa unajikuta maisha yako yatakuwaje tayari yalishapangwa either na wazazi wako kwakujua au kutojua uenda yalipangwa na mababu kuwa utarithi maisha ya aina gani. Cha ajabu Mungu ameweka maono ndani ya kila mtu. Sasa kama unaona unatia juhudi sana kutimiza ndoto yako na inakataa, miaka inaenda mpaka unafika 45year ujatimiza. Jua kuna maagano yalishafanywa na mababu yako tangu Adamu. Unachotakiwa kufanya ni kubatilisha hayo maagano kwa kutumia mamlaka ya juu kuliko mamlaka aliyotumia kupanga your destine. Kama wewe ni Mkristo utakubaliana na Kitabu cha Biblia cha Samweli. Samweli alikiwa kuhani wa Mungu kutokana na Agono ambalo mama take alifunga na Mungu. Hii ni kusema aina ya maisha ya Samweli yalishatabiliwa. Thanks God alikubali predetermined destine. Kama angekataa akataka kuwa let say Engineer! Angepiga mark time maisha yake yote. Wengi wetu kwa njia moja au nyingine tumekuwa victime wa maagano ambayo wazazi au mababu wetu waliingia. Kama wewe ni mkristo njia pekee ya kupangua ni kutumia Damu yq Yesu. Na Damu ya Yesu huwezi kuitumia bila kuokoka! Nawakiliisha subject to positive criticism
 
Shubiri Pori

Shubiri Pori

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
638
Likes
561
Points
180
Shubiri Pori

Shubiri Pori

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
638 561 180
katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
Daah kwaiyo kama mzee wangu alibaka namie nitaukumiwa kwa kosa la kubaka..! hapa dini ndio inapoanza kuwa ngumu
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
24,995
Likes
32,606
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
24,995 32,606 280
Daah kwaiyo kama mzee wangu alibaka namie nitaukumiwa kwa kosa la kubaka..! hapa dini ndio inapoanza kuwa ngumu
hivi umemuelewa kweli ?? basiii kama ndivyo ninafuu ya uongozi wa serikali zilizopo duniani kuliko hizo dini ..maana serikali zilizpo huku huwezi kukuta zikimuhukumu mtu kwakosa LA babu ama bibi yake ..nakama patakuwa na nchi zenye desturi hiyo niwazi zitakuwa zimeshapigiwa kelele mno nakuonekana kuwa hazifai ..sasa vipi kuhusu hzi dini zetu leo zionekane kuwa zinafaa wakati zinatoa hukumu kwa mjukuu kwaajili ya kesi ya babu ...hiyo nihaki ??
 
Forum statistics

Threads 1,262,481
Members 485,588
Posts 30,123,421