Tambua mambo waliopanga wazungu miaka 2000 baadae

Tambua mambo waliopanga wazungu miaka 2000 baadae

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
HOLO.jpg
habari vipi wadau

Jarida moja la times nimelisoma wiki iliopita nimejionea mambo amabayo wazungu hasa usa na canada mambo waliyoandaa kufanyika miaka 2000 ijayo nimependa nileta humu na nyie muweze ku share idea zenu kama itakuwa kuwa powa mtachangia kama kuna uwezekano wa mambo hayo

2019-utafiti wa mwisho juu ya uhai sayari ya mars
2020-simu za kisasa zaidi zenye kufanya kazi kwa mfumo wa holographic screen
2025-viungo vya binadamu vya kila aina hapata kuwa na vilema tena duniani
2050-maisha kuanza sayari ya mars
2060-computer connect with brain
2080-koloni la kwanza kuanza sayari ya mars (nauli sijui itakuwaje wakati huo) watapambana na hali yao

2100-kutokana na mafuta baadhi ya sayari kutajengwa bomba hadi sayari ya dunia
2300-kufikia sayari ya kleper iliyombali sana kutoka duniani ni mabilion ya km hata ukitumia light speed ni mabilion ya miaka wakati huo watafika na siku kadhaa
2390-mawasiliano kati ya watu wa duniani na wanaoishi mars kufungwa
2500 -kufika kwenye jua na kulifanyia utafiti
2900-binadamu kuongeza umri wa kuisha kutoka miaka 78-300
3000+ -kufikia sayari zote kwenye mifumo yote ilioyo popote pale na kufabya makazi humo

3500-baadhi ya miji duniani kuhamia sayari nyingine na kubaki humo
3670-njia kutoka sayari na sayari na minara ya simu za kila aina

Nimebaatika hayo tu ila yako mengi sana nikipata muda nitayaleta humu maana hadi ya miaka 5000 ijayo asante sana
 
i think zingine ni ngumu kuzifikia.mfano kuishi mars na kuleta mabomba huku duniani ni stori tuu.hata hiyo miaka 300 nafkir ni ngumu.vitabu vya dini vishaweka limit ya 70 nyongeza ni shida tupu...inshort hii dunia kuna vitu tumefichwa vya umuhimu na tunapewa mbadala wa maneno mengi ya uongo kutujaza matumaini hewa.duniani kuna dome of firmament ambayo huzuia kitu kitoke duniani.we jiulize kwa nini nasa hawajawahi kusema wanaenda mwezini tenah??.wanadai eti kuna mikanda uko hewani (belts) zinawazuia kupasua anga juu zaid.sa jiulize technologia waliyoitumia mwanzoni waliipeleka wap??
 
Watu sasa wamefikia kilele cha uongo . Maana mleta mada ameonesha uhalisia wa mtu anayeishi kwenye fantasies.
 
Hilo la 2900 kuhusu kuongeza miaka kutoka 78 hadi 300
Ningeomba lishughulikiwe chap iwe hata 2025 hivi sio mbaya

au wezangu mnaonaje hili!!!!
Unataka kuishi miaka mingi kwenye zama hizi zilizojaa stress na uonevu?
 
Miaka 50 iliyopita, ungeambiwa kuhusu WiFi, kuhusu Smartphone, Video Calling...n.k

Ungebisha mpaka mishipa inakusimama.
Angebisha sana. Watu weusi ndiyo kawaida yetu kubisha ili hali hata kutengeneza sindano ya mkono inatutoa jasho. Hawa watu weusi nawakubali wapo vizuri.
 
Hapo pa kuongeza umri naunga mkono ikiwezekana waanze kufanyia kazi hata kama bajeti haitosheleze wafanye halambee tutachangia kwa kweli...
Kwann uipende dunia wakati kuna maisha Mazuri tu baada ya kifo?
 
Kama kweli hawa jamaa vichwa wajenge sayari yao waiweke kwenye solar system , alafu wahamie hapo waishi
 
Mwisho wa siku yaleyale yatakuja mambo ya filimasoni
 
2100 [emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
 
Back
Top Bottom