Ni siri gani iliyopo kati ya usingizi na kifo?

bad spenko

Senior Member
Jun 22, 2020
125
137
Wakuu najaribu tu kuwaza kama heading inavyojieleza, tunalala na tunaamka viumbe wote hai lazima walale tena usingizi wa kutojitambua na pasipo kujua chochote kinachoendelea juu yao.

Kuna mahusiano yoyote juu ya usingizi na kifo?
 
Uhai ni ufahamu, utambuzi (consciousness); mtu akilala usingizi, ufahamu wa mazingira yake hupungua, almost karibu na usingizi wa mauti pale wapendwa wetu wakitutoka.
 
Wakuu najaribu tuu kuwaza kama heading inavyojieleza, tunalala na tunaamka viumbe wote hai lazima walale tena usingizi wa kutojitambua na pasipo kujua chochote kinachoendelea juu yao.
Kuna mahusiano yoyote juu ya usingizi na kifo?

Uzi tayari.
Usingizi wa kutojitambua ndo UPI huo? usingizi wa pono sio?

Je huoti ndoto? Unajua umuhimu wa ndoto?
 
Usingizi wa kutojitambua ndo UPI huo? usingizi wa pono sio?

Je huoti ndoto? Unajua umuhimu wa ndoto?
Mkuu unaweza kunijibu uwapo kwenye usingizi unaweza kutambua chochote kinachoendelea huku duniani kwa wakati huo? Je ni nini kinachotufanya tusitambue kua hapa nimelala?

Mi sijaandika usingizi wa pono labda unipe elimu zaidi ni usingizi gani huo wa pono.

Kuna wakati mtu huoti ndoto kabisa mkuu
 
Mkuu unaweza kunijibu uwapo kwenye usingizi unaweza kutambua chochote kinachoendelea huku duniani kwa wakati huo? Je ni nini kinachotufanya tusitambue kua hapa nimelala?
Mi sijaandika usingizi wa pono labda unipe elimu zaidi ni usingizi gani huo wa pono.

Kuna wakati mtu huoti ndoto kabisa mkuu
Kama unàtaka kuona kinachoendelea duniani usilale

Unapokuwa umelala unakuwa kwenye ulimwengu mwingine

Ndoto lazima uote ila unasahau ndo maana unasema huoti
 
Serial Killa- Snooo Doggy Dogg

Six million ways to die, choose one
It's time to escape, but I don't know where the https://jamii.app/JFUserGuide I'm headed
Up or down, right or left, life or death
I see myself in a mist of smoke
Death becomes any nigga that takes me for a joke
We hit a five dollar stick, now we puttin in work
Unaccountable amounts of dirt, death becomes all niggas
Anybody killa, you know what the deal is
Nigga, you know what the real is
I see some mark brand niggas on the corner flaggin me down
Sayin, "Yo Daz, what's up with the Pound?
Is that nigga Snoop alright? Aiyyo what's up with the crew?
Is them niggas in jail, or are them niggas through?"
I said, "If you ain't up on thangs
Snoop Dogg is the name, Dogg Pound's the game"
It's like this they don't understand
It's an everyday thang, to gangbang
Make that twist, don't be a bitch, let these niggas know
What's up witchu I represent the Pound and Death Row
And can't no other motherfucker in L.A. or Long Beach
And Compton and Watts see D-O-G's
Now, you can't come and you can't run, and you can't
See long to the G of the gang
One gun is all that we need, to put you to rest
{Pump pump!} Put two slugs dead in your chest
Now you dead then a motherfucker creepin and sleepin
6 feet deep in, fuckin with the Pound is
Suicide, it's a suicide
(Repeat x4)
The cloud becomes black, and the sky becomes blue
Now you in the midst of the Dogg Pound crew
Ain't no clue, on why the https://jamii.app/JFUserGuide we do what we do
Leave you in a state of paranoia, oooh
Don't make a move for your gat so soon cuz
I drops bombs like Platoon (ay nigga)
Walk with me, hold my hand and let me lead you
I'll take you on a journey, and I promise I won't leave you
(I won't leave you) until you get the full comprehension
And when you do, that's when the mission
Or survival, becomes your every thought
Keep your eyes open, cuz you don't wanna be caught
Half steppin with your weapon on safety
Now break yourself motherfucker, 'fore you make me
Take this 211 to another level
I come up with your ends, you go down with the devil
Now roam through the depths of hell
Where the rest your busta ass homeboys dwell
Well
Suicide, it's a suicide
(Repeat x3)
Now tell me, what's my motherfuckin name?
Serial killa! Serial killa! Serial killa!
(Wake up in the morning eat your Lucky Charms cereal)
Deep, deep like the mind of Minolta, now picture this
Let's picnic inside a morgue
Not pic-a-nic baskets, pic-a-nic caskets
And I got the machine, that cracks your fuckin chest plates
Open and release them guts
Then I release def cuts
Brutal, jagged edged, totally ruffneck
Now everybody scream nuff respect to the X
Nuff respect given
Disrespect and you will not be livin
Word to momma, Emma, drama, dilemma
Outbrain
 
Kwanini tunalala yaani ukimtizama mtu aliyelala au chochote kilicholala unaouwezo wa kukifanya chochote utakacho.

Wakati huo huo hicho kiumbe kilicholala kipo hai.

Bado natafakuri
 
Nakubali mkuu;
Sasa kwanini usingizi na kifo viwe na mahusiano?
Hakuna anajua jua baada ya kufa kinatokea nini, lakini kwa kutumia vitabu vya dini tunaamini ukifa roho inacha mwili na kurudi kwa Muumba.

Kwahiyo nadhani baada ya kufa nafsi/roho itakuwa inajua nini kinaendele.

Hivyo basi kifo na usingizi ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom