Huu mjadala nitahitaji ukae hivi mapema kabisa ili niweze kueleweka kabla sijagusia kitu chochote!.
Maswali mengi tunayojiuliza na hatujapata majibu mpaka sasa juu ya chanzo cha ulimwengu na...
Katika enzi ya Vita Baridi, dunia ilitazama Chess kama mchezo wa kawaida tu. Lakini kwa Umoja wa Kisovieti, michezo ya Chess haikuwa michezo tu. Ilikuwa sayansi ya akili, silaha ya kisiasa, na...
Ilikuwa ni siku ya jumatatu ya mwezi wa 9 mwaka 1983. Siku ambayo anga lilikuwa angavu na bluu ikimaanisha hali ya joto kiasi ndani ya makao makuu ya nchi ya marekani Washington d.c. Hakika...
Salaam kwenu Wana great thinker.
Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu.
Wakuu,Jana,sote tunatambua...
Let us think inside the box, outside the box and trash the box and think without a box as well.
Inside the box
CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano wa CHADEMA ili wananchi waogope...
Wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa Dar.
Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa Kisomali katika jiji la Dar es salaam kwa...
Sijui kwanini tunazungushana na kudai watu wote walioatajwa kwenye orodha ya Ufisadi wanastahili isipokuwa Rais Kikwete! Hata viongozi wanaotambua baadhi ya uzito wa tuhuma zilizotolewa na...
11/12/2025 when i was sleeping during midnight
I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road.
One servant of God said
“She is in the process to have death“
Pray for Tanzania...
JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC
Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting).
The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has...
Habari zenu ...
Kama mtakuwa tayari kuwapa hii elimu adimu ambayo huwezi kuipata popote pale iwe shule au wapi,ila kwa mtu anayefikiria kwa kina sana, sia kila kitu anakubali tu na kushindwa...
Hali ya ukungu na baridi kiasi ulioitawala June 6 2019 haikuzuia misafara isiyoisha ya magari ya jeshi katika mji wa khartoum. na kila walipopita nyuma waliacha miili ya mamia ya raia imelala...
Kupotea kwa mwanasiasa Ben Saanane takribani miaka miwili iliyopita pamoja na kupotea kwa mwanahabari Azory Agwanda mwaka mmoja uliopita,kuliwashtua Watanzania walio wengi na kuibua minong'ono juu...
Hukutoka na zana wala hukubeba kitu kiletacho umauti mikononi mwako, ulipokwenda kumpelekea Daudi wana wa Isirael nyumbani kwake, apate kuwatawala na kuwamiliki sawasawa na neno la bwana...
Kuna taarifa kwamba Riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya Lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010.
Kumbe ndio maana jamaa wana jeuri...
YAFUATAYO NI MAUAJI TISA (9) YA HALAIKI MAKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA AMBAYO HAYAZUNGUMZWI SANA.
Ukisikia mauaji ya Halaiki (genocide) akili inakimbilia Rwanda , Soweto na Holocaust (waisrael...
Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!.
iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k...
"Maandamano ya kupinga ada ya vyuo vikuu Afrika Kusini"
Wiki iliyopita, wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Afrika Kusini walianza kufanya maandamano ya kupinga ongezeko la ada kwa asilimia 10.5 katika...
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba amani na utulivu wetu kama nchi mwisho wake ulikuwa 1995
Baada ya hapo amani na utulivu wetu tuliviweka rehani pale tulipoanza kubinafsisha kila kilicho chetu kwa...