Amani iwe nanyi wana wa Mungu
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa, naamini hata we ulipo uko mzima wa afya na mwenye nguvu.
Bibilia imeandikwa Hapo mwanzo Mungu...
Katika kuperuzzi vitabu library leo nimevutiwa kukushirikisha kuisoma KAMUSI YA SHETANI (By Bierce A.), nakuomba tuongozane pamoja katika tafsiri ya baadhi ya maneno niliyoona kwa namna moja au...
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata...
Sina budi kusema kuwa inawezekana tumedanganywa sana au nimepotoka pia kuamini hili. Kupitia speculations zangu nimekuja kung'amua kuwa hatupaswi
kuwa na ugomvi wa kidini na kimadhehebu kwa kuwa...
Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa
Mbinu tano ni njia za mahojiano zilizobuniwa na jeshi la Uingereza na kutumika wakati wa machafuko Ireland ya Kaskazini. Mbinu hizi...
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza hasa pale unapo waza utofauti wa utashi,maisha teknolojia na maendeleo uliopo baina ya waafrica na wazungu.
Unaweza ukajiuliza kwanini? wametuacha mbali sana...
Sababu ya usiri wa kazi zao imefikia mahali tunawalaumu sana kwamba hawafanyi kazi ila tukichukulia yale ambayo yamewekwa hadharani kuhusu utendaji wa hawa jamaa basi hatuna budi kuwaheshimu na...
Habari yenu wana Jf
Bila Shaka mpo salama na kuzidi kupambana na Maisha ya kila siku.
Kama ilivyo Ada hapa Jamii intelligence tunapashana habari mbalimbali za nadharia na zenye uhalisia
Kama...
Habari za mida hii wajuzi wa mambo katika jukwaa pendwa la Jamii Intelligence :'
Leo napenda kutoa mchango kidogo sana, inaenda kuhususiha Artificial creaation( uumbaji bandia) unavyochukua...
Katika ulimwengu tunaoishi tumefumbwa vingi na wachache werevu pengine ni kwa makusudi au ni kwa malengo fulani ambayo hili yatimie imewapasa kufanya hivyo,
Leo naomba kugusia interest za wana...
Kila mtu amesikia au kuoana kwa uhalisia, taarifa au katika filamu mateso na ukatili binadamu wanaofanyiana kati yao. Tofauti katika mateso ya binadamu mmoja kwa mwingine na yale wanayofanyiana...
Hodi wakuu wataalam wa mambo.
Leo ninahitaji mnisaidie jambo moja kuhusu nguvu iliyopo ndani ya damu inasababishwa na nini?
Damu kimekuwa ni kitu ambacho kinaaminika kubeba maajabu na nguvu za...
KUNA USEMI HADI LEO WANAAMINI KUWA SIKU MOJA MBINGUNI NI SIKU ELFU MOJA DUNIANI ILA UKIANGALIA DUNIA IMEPITA MIAKA ZAIDI YA BILLIONI OF YEARS HADI PALE WALIPO JUA KUHESABU NA KUANZA MWAKA 1 HADI...
'Kufa kufaana' tupo duniani 'kuchumia tumbo' na hakuna dhambi nikitenda dhambi kwa sababu ipo hili niitende niishi, Niende moja kwa moja kwenye hoja:-
Lengo la kutengeneza silaha nikuua watu, nia...
Salute!
"Nina uhakika wote kuwa tukio lile litakuwa la mwisho kutoka kwenye ubongo wangu. Watu walishangilia nilipoinama kuzoa damu ya mama'ngu sakafuni. Nilishuhudia kwa macho wakichinjwa...
Katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Msumbiji(1977-1992). Tanzania ilikuwa ikiwaunga mkono wajamaa wenzao FRELIMO dhidi ya RENAMO. Kawaida tulikuwa tukiaminishwa kuwa RENAMO ni waovu wasiofaa...
Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa Warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza.
Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa...
Unapochaguliwa kuwa Rais wa nchi ni lazima kwanza uhakikishe kuwa Intelligence ya Taifa unaloliongoza iko imara kuliko chochote.
Yaani hata panya lazima ujue anawaza nini,siyo rahisi kwa Taifa...
Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3...