1.��️ Uvutaji wa sigara
2.��️ Unywaji wa pombe
3.��️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.��️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula...
Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO...
Leo nimepigiwa simu ya shukrani, mama wa binti akilia machozi ya furaha, binti yake kapata mtoto.
Mwaka 2024 mwishoni nilienda kijijini nilikozaliwa, nikakutana na binti aliyemaliza degree na...
. Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena.
Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi...
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma.
Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji...
Ni kawaida kwa wanaume wengi kushuhudia uume “kulala” au kulegea mara tu baada ya kumaliza tendo la kwanza la ngono (kufika kileleni / kumwaga shahawa).
Hali hii husababishwa na mabadiliko ya...
Salam ndugu zangu wanaJF,
JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu. Leo nimekuja na kuomba msaada, je mwanamme kushindwa kutungisha mimba tiba yake ni Nini?
Vipimo vya hospital vinaonesha sperm...
Hali zenu vip wakuu?
Nauliza wapi naweza kupata huduma (iwe hosptali au kienyeji) ya kuzuia hamu na hisia ya tendo la ndoa angalau kwa miaka mitatu?
Mwenzenu, hawa viumbe wananisumbua. Yaani...
Habari viongozi, mimi nina kijana ambae ni rafiki yangu, ambae ikitokea kaota ndoto nyevu basi humletea maumivu wakati anachafua bukta yake, kwahiyo nilikua naomba msaada wa kuweza kukabili hali...
Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima
KUWASHWA...
Habari Wadau
Naomba Tujadili suala jambo hili kama title inavyojieleza
Kwa wanaume wengi ,mtu akisimulia KUPOTEZA pesa kwa kamari au kupata stress kwa namna fulani.
Mara nyingi wengi husema...
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya.
Kwa wiki anaweza kuna mara...
Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme,
Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi...
Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma...
SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali...
Habari,
Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.
How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?
I...
Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!
Leo tuna hapa napoandika...