stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 838 Reaction score 1,781 Jul 7, 2026 #1 Ni yapi matibabu sahihi ya Tezi dume?
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,923 Reaction score 2,028 Jul 7, 2026 #2 Mkuu, fika hospotali ili kufanya kipimo cha PSA, mpango wa matibabu utafanyika hapo baada ya majibu.
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,714 Reaction score 21,627 Jul 7, 2026 #3 Itategemeana na ukubwa wake, mara nyingi huwa ni kwa njia ya surgery. Kama imesha-advance kwenda kwenye kansa, hiyo ni habari nyingine kabisa.
Itategemeana na ukubwa wake, mara nyingi huwa ni kwa njia ya surgery. Kama imesha-advance kwenda kwenye kansa, hiyo ni habari nyingine kabisa.
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,646 Reaction score 5,715 Jul 7, 2026 #4 After vipimo wakajua ina ukubwa gani then watakueleza wenyewe ila ni vizuri mgonjwa akafanyiwa surgery kama yupo financilly fit
After vipimo wakajua ina ukubwa gani then watakueleza wenyewe ila ni vizuri mgonjwa akafanyiwa surgery kama yupo financilly fit