TENDO LA NDOA: TIBA MBADALA YA MARADHI YA MOYO,
UBONGO, MAUMIVU YA KICHWA
Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi...
Wadau habari za jamvini,
Ninaombeni msaada wenu kwani kila nikila chakula nashindwa kukimeza nahisi kama kinataka kurudi (kama nitatapika).
Tatizo limeanza juzi na linanipa shida kwani siwezi...
Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.
Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja...
Habari za kazi wadau?
Mkewangu ni mjamzito, ndio mimba ya kwanza na ina takriban wiki ya nne sasahivi.
Naomba ushauri wa hosipitali nzuri itakayo mfaa ukizingatia yeye ana changamoto kadhaa za...
Habari Jf
Tunauza wheelchairs na vifaa ambavyo vinasaidia kutembea kwa watu wanaoshindwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine bila msaaada wa mtu mwingine, kifaa au kiungo mbadala.
Wheelchairs...
wana JF hili tatizo linanisumbua muda mrefu sasa...
yaan nikioga tu mwili wote unawasha,yaan hii hali huwa inachukua kati ya dakika 25-30 mpaka mwili utulie...
yaan hadi nachukia kuoga...
Ndani ya siku mbili hizi nimekuwa nawashwa kwenye pumbu chini.
Kwa wazo la kwanza nilifikiri ni ugonjwa wa zinaa kwani kiukweli niligegeda ndani ya wiki hiyo, ila nimechunguza hapo panapouma...
Kuna kidonda kinafanana na chale kwenye pumbu yangu naombeni msaada kama huu ugonjwa gani unaninyemelea???
Je hii inaweza ikawa ni ugonjwa wa zinaa?? Je ni upi??
Je inaweza kuwa ni chale ya...
Niko katika mkoa ambayo wakazi wake meno yamebadilika rangi kutokana na maji wanayokunywa.
Mimi nilihamia huku nilipo mwaka jana na mwanangu mwenye umri wa mwaka mmoja hajazaliwa huku alikuja...
Wanaume wengi wamekuwa wakisononeka na muonekano mdogo wa uume wao, na hivyo kutojiamini kuwaridhisha wapenzi wao wakati wa tendo. Kwa wastani wa kawaida uume wa mwanaume ukiwa umedinda (when...
Revealed... 6 surprising signs of heart disease you should NEVER ignore
A Texas cardiologist revealed oft-ignored heart disease symptoms
These symptoms appear may appear to be minor and unrelated...
Habari Ma-Dokta na Wana JF kwa Ujumla.
Mtoto wangu anaumri wa miezi Sita ila anasumbuliwa na tatizo la Kitovu.
Tatizo lenyewe liko hivi.
Mtoto anakitovu kilicho chongoka kiasi fulani pia kina...
Mlipuko wa virusi vya zika unaosababisha ulemavu kwa watoto wanaozaliwa kuwa na vichwa vidogo isivyo kawaida (microcephaly), umeripotiwa kuzuka katika nchi za Brazil na Bolivia. kesi za virusi vya...
Habari za Leo madaktari,
Mke wangu tukimaliza tendo huumwa na tumbo linalo ambatana na kichefuchefu na uchovu wa mwili ni miaka miwili tangu tuoane nimekwisha mpeleka hospital sana na hupewa...
Magonjwa nyemelezi si neno geni miongoni mwa watu wengi haswa katika miongo hii miwili toka kugundulika kwa ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) na Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Utangulizi...
Zaidi ya wanawake 450 nchini hupoteza maisha wakati wa kujifungua.
Wanawake zaidi ya 450 nchini hupoteza maisha wakati wa kujifungua kati ya vizazi hai laki moja kwa mwaka vinavyosababishwa na...
Kuna jamaa nilikutana naye akaniambia sikio lake moja halisikii vizuri tangu alipopigwa bomba hospitali ili kuondoa uchafu sikioni miaka ya nyuma kidogo. Kwahiyo upigaji bomba unaweza usiwe mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.