Ndani ya siku mbili hizi nimekuwa nawashwa kwenye pumbu chini.
Kwa wazo la kwanza nilifikiri ni ugonjwa wa zinaa kwani kiukweli niligegeda ndani ya wiki hiyo, ila nimechunguza hapo panapouma nikakuta kuna chale moja ndo ipo.
Je, kuna ugonjwa wowote unaokuja na chale kwenye pumbu? Je hii yaweza kuwa ni nini? Nifanyeje hii chale iondoke maana hata kutembea kwa raha sasa nashindwa.