Tatizo la kuchoka muda wote

ESPIRIT

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
665
524
Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.

Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja tena dhaifu then ngoma inalala kama lisaa then la pili dhaifu tena kama dk 4.

Je, nifanyeje wadau.

Naomba usinitukane najua hapa kuna wataalam mbali mbal.
 
Mkuu samahani,unafanya kazi aina gani? Kuna kazi zingine zinachangia sana mfano kazi za dukani na zile za u miner (uchimbaji madini chini ya ardhi kwa muda mrefu)
 
Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.

Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja tena dhaifu then ngoma inalala kama lisaa then la pili dhaifu tena kama dk 4.

Je, nifanyeje wadau.

Naomba usinitukane najua hapa kuna wataalam mbali mbal.

Hayo Ni Matatizo " ZOELEKA " Yanayowakabili Vijana Wa Siku Hizi Na Tiba Yake Ni Rahisi Sana Mkuu Kama Uko Dar Jaribu Sana Kutembelea Pale Magomeni Mapipa Kwa Macheni Utatibiwa Vizuri Sana Na Watibiaji Maarufu. Unahitaji Kubustiwa Mara Kwa Mara Na Utachangamka Tu!
 
Duh??
Mkuu wewe utakuwa huchukui tizi!!!
Fanya mazoezi mkuu! Hizo dalili mbaya kwa mwanaume!!!
 
Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.

Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja tena dhaifu then ngoma inalala kama lisaa then la pili dhaifu tena kama dk 4.

Je, nifanyeje wadau.

Naomba usinitukane najua hapa kuna wataalam mbali mbal.
kapime magonjwa ya kisukari, tatizo la moyo na figo lako ili upate kujuwa kama huna maradhi yaliyojificha mwilini mwako.Kunywa majiya uvuguvugu kwa wingi unapo amaka asubuhi na unapotaka kulala usiku.
Kutibu Ulegevu Na Uvivu
kunywa- kabla ya kula – juisi ya machungwa iliochanganywa matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa. Utaendelea hivyo kwa muda wa siku kumi. Baada ya hapo utaona nishati na uchangamfu na nguvu mwilini.

Ahsanteni kwa ushauri naufanyia kazi ntaleta matokeo hapahapa Mungu a walinde
 
Back
Top Bottom