JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,832
- 10,628
Habari Ma-Dokta na Wana JF kwa Ujumla.
Mtoto wangu anaumri wa miezi Sita ila anasumbuliwa na tatizo la Kitovu.
Tatizo lenyewe liko hivi.
Mtoto anakitovu kilicho chongoka kiasi fulani pia kina pingili mbili upande wa juu. Sehemu ya kitovu inayokatwa wakati mtoto akizaliwa imeanza kutoa harufu.
Hivyo naombeni msaada wenu ili mtoto wangu apone jamani.
Nifanyeje na mimi ni mgeni hapa Dar?