The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Hivi ni kitu kinafanya utosi wa mtoto uwe unacheza cheza na badae anapofikisha kuanzia mwaka mmoja na nusu unaacha kucheza.
Hivi ni kitu kinafanya utosi wa mtoto uwe unacheza cheza na badae anapofikisha kuanzia mwaka mmoja na nusu unaacha kucheza.
Ok,ninachifikiri kila sehemu ya binadamu ipo jinsi ilivyo kwa sababu ya kufanya kazi fulani,sasa kwa mtoto kwanini kunakuwa wazi na panafunga baada ya mda fulani,angezaliwa kukiwa kumefungwa ingezuia niniPako wazi bado hapajafunga. Ukiona pameacha basi tayari pameshaunga. Ni sehemu delicate sana kwa mtoto.
Mimi ni mtu mzima lakini Sehemu ya mbele haijafunga mpaka sasa. Huwa jua likiwaka sana huwa napata shida sana hivyo si watoto pekee kuna nasisi vilema.Pako wazi bado hapajafunga. Ukiona pameacha basi tayari pameshaunga. Ni sehemu delicate sana kwa mtoto.
Achana napo mkuu ni mipango ya MUNGU tu hiyo....
Mara mtoto anapozaliwa viungo vyake huwa havijakomaa na mojawapo ni hapo kichwani hiyo siku zinavyokwenda hufunga sababu viungo vinakomaa taratibuOk,ninachifikiri kila sehemu ya binadamu ipo jinsi ilivyo kwa sababu ya kufanya kazi fulani,sasa kwa mtoto kwanini kunakuwa wazi na panafunga baada ya mda fulani,angezaliwa kukiwa kumefungwa ingezuia nini
Sawa mkuu lakini angalia tu usipabonyeze....Ni kweli ni mipango yake Mola,nimejiuliza sana nikaona labda kuna majibu yake na wengine wanayafahamu so ni katika ku-share idea tu.
Naona kale ni kaeneo kadogo kwamba kasingeweza kuzuia mtu asijifungue salama.Tukumbuke mtoto anapozaliwa endapo mifupa yake ingekuwa imekamilika kabisa yaani imekomaa ingekuwa ni majanga zaidi kwa mama anapojifungua.
!
Mkuu kuna mtu mmoja instagram acc yake inaitwa je wajua. Moja ya post zake kule kuna video ambayo inaonesha mtoto akizaliwa kichwa hubonyea kidogo ili kiweze kupita kiurahisi kwenye uke. Sasa labda inaweza kuwa hiyo ni sababu. Mana kama kukikaza akiwa tumboni panaweza pasibonyee ikawa shida......Hivi ni kitu kinafanya utosi wa mtoto uwe unacheza cheza na badae anapofikisha kuanzia mwaka mmoja na nusu unaacha kucheza.
Haha!sijui hata yeye kwa ukubwa huo akibonyezwa itakuwa ni hatari au vipMmmh! Mi kuna mfanyakazi mwenzangu utosi wake hadi leo unacheza huwa natamani kumbonyeza!! Teh!
Waite hao wa mazingira waje bhana maana scientific answer bado sijalipata.Tukishindw kupata jibu hapa
Basi yale majamaa y mazingara watatupa sababu
Ha ha ha! yaani nimecheka kufa! pole mkuu. Kamwone daktari hiyo sio normal. Kuna tatizo or alternatively nenda kaombewe tu. Daktari anaweza kukuambia unatakiwa ufanyiwe operesheni.Mimi ni mtu mzima lakini Sehemu ya mbele haijafunga mpaka sasa. Huwa jua likiwaka sana huwa napata shida sana hivyo si watoto pekee kuna nasisi vilema.
nadhani ni development issue. Mtoto mdogo viungo vingi vya mwili vinakuwa havijawa developed. Ndiyo maana anaanza kwa kukaza shingo, then atakakamaa halafu atakaa, then atatambaa kabla ya kutembea na hii inaendelea hadi anapokuwa mtu mzima then kila kiungo kinakuwa tayari kimeshatengenezwa na mtoto anastop kukua. Inabaki kunenepa au kukonda.Ok,ninachifikiri kila sehemu ya binadamu ipo jinsi ilivyo kwa sababu ya kufanya kazi fulani,sasa kwa mtoto kwanini kunakuwa wazi na panafunga baada ya mda fulani,angezaliwa kukiwa kumefungwa ingezuia nini
mimi wanangu wawili haukucheza kabisa....hebu uje umbonyeze tuone!!Mmmh! Mi kuna mfanyakazi mwenzangu utosi wake hadi leo unacheza huwa natamani kumbonyeza!! Teh!