Habari za muda huu wakuu,
Naomba kujulishwa kama kuna athari zozote za kula ndizi kwa wingi kwa siku na pia kama kuna athari zozote za kunywa maji mengi kwa siku.
Mimi nina kawaida ya kula ndizi...
Sorry wakuu, hivi ninaweza kutumia slide culture kwa bakteria kama ambavyo inaweza kutumika katika fungal culture especially kwa molds ( ambapo inaonesha fruiting bodies na kufanya kuwa easily...
Kwanza nawasamehe wote mtakaonitukana na kunikebehi katika hili jambo lililonipata. Wakubwa, niliingiwa na tamaa ya kukuza (kurefusha umbile langu ili niwe nawakomoa wanawake) hivyo nikaingia...
Jamani nataka kufanya full body massage hapa DSM wapi sehemu powa ?
Napenda always kusaidia wajasiliamali so kama kuna mtu anajua dada anayefanya shughuli hizi ni pm
Habari zenu, nliwahi kusikia watu wakiongea kwamba maji ya bahari yana faida kiafya ukiogelea na pia Nimeona watu wakihangaika kuchota na vibubu vyao. Je kuna matumizi yake spesho?
Nina tatizo moja ambalo siloelewi chanzo chake ni kwamba nikiwa nimelala au nimekaa au hata nimesimama(sometimes) halafu nikajamba ile hewa inaingia ukeni halafu nikisimama inatoka kwa kasi kama...
Habari wana jf..!! Ndugu zangu kuna jambo naomben msaada wenu huku kwetu wamasai wamekuja kwa wingi sanaa,,, eti wanauza dawa aina ya mitishamba ambazo zinafanya kazi ya kutibu mambo mbalimbali...
Nikivipi mapigo ya moyo wa mtoto ambaye yuko tumboni yanaanza..? na pia
nataka kujua mwanzo(kabla ya moyo kuanza kupiga pigo lake la mwanzo nini hufanyika mpk kuanza kudunda..?)
nikivipi moyo...
Habari wandugu,
Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya...
Mama mmoja ajulikanae kwa jina la Asma akitoa maelezo Leo(20/4/2017) katika kipindi cha power breakfast cha clouds FM,amelalamika kuibiwa mtoto wake mmoja baada ya kujifungua kwa operation katika...
Akizungumza moja kwa moja kutokea Ngorongoro ambapo wamewapokea Watangazi wa Kipindi ' maarufu ' kabisa cha Clouds tv 360 mmoja wa Wahifadhi wa Ngorongoro amesema kuwa ile ' harufu ' inayotokana...
10 Surprising Foods That Kill Your Sex Life
If you are not able to perform at your bed, then you and your partner are in from the worst sex session of your lives. There are a lot of...
Wakuu habari za muda,
Kuna tatizo au jambo limetokea takribani mwezi wa pili sasa. Hali yenyewe ipo hivi, kuna muda nahisi damu yangu mwilini kucheza au kutikisika. Hii hali inaweza kutokea...
Tatizo la damu kuganda kwenye ubongo kwa mtoto husababishwana nini? Anayejua tafadhal naomba msaada kwani kuna mtoto amepoteza faham anapumua kwa mashine yaan kifupi hali yake ni mbaya. Madaktari...
Wadau salaam, naomba kujua kuna rafiki yangu kapima uzazi kaambiwa erection transmitter ni 2.425 kama actual measurement value kwani je hapo atakuwa mgonjwa. Asanteni
jaman nina mpenz wng mara nying hapend sana kufanya sex..,mda mwingine inabidi nmforce tu ila cha kushangaza akiwa hatak ht nimuandae vp kila nkjarb kuingiza pale kwny uke unakuta pameziba kabisa...
Habari za wakati huu wakuu?..km kichwa changu hapo kinavyosema.kuna dada mmoja ameniomba nimuulizie kwenu.yeye anavyojua ana siku 28 za mzunguko wa hedhi,lkn mara nyingi zinapita hizo siku ,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.