Binman
Member
- Jul 17, 2016
- 68
- 30
Habari wana jf..!! Ndugu zangu kuna jambo naomben msaada wenu huku kwetu wamasai wamekuja kwa wingi sanaa,,, eti wanauza dawa aina ya mitishamba ambazo zinafanya kazi ya kutibu mambo mbalimbali kama kupunguza unene wa mwili na n.k,, Tena mmasai inasema mtu unapungua ndani ya wiki moja ila unaharisha sanaaa ndani ya siku tatu.... Kwenu wadau ni kweli mtu anaweza pungua au jamaa wanatupiga hela....???? Msaada plz