Wakuu habari za muda,
Kuna tatizo au jambo limetokea takribani mwezi wa pili sasa. Hali yenyewe ipo hivi, kuna muda nahisi damu yangu mwilini kucheza au kutikisika. Hii hali inaweza kutokea sehemu yeyote ya mwili. Hii hali inakuwa kama vile damu kutingishika katika kasehemu kadogo ka mwili. Inaweza kutokea muda wowote. Samahani kama ntakuwa nimeshindwa kuelezea vizuri ila hii hali inanikosesha raha.
Je inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa gani. Msaada wenu tafadhali