Domaradzka
Senior Member
- Apr 19, 2016
- 135
- 168
Sorry wakuu, hivi ninaweza kutumia slide culture kwa bakteria kama ambavyo inaweza kutumika katika fungal culture especially kwa molds ( ambapo inaonesha fruiting bodies na kufanya kuwa easily identified)