Tatizo la damu kuganda kwenye ubongo kwa mtoto husababishwana nini? Anayejua tafadhal naomba msaada kwani kuna mtoto amepoteza faham anapumua kwa mashine yaan kifupi hali yake ni mbaya. Madaktari wamesema damu imeganda kwenye ubongo. Hii husababishwa na nini?