Wale wagonjwa wenzangu wa pumu ( asthma ) tutamtufe Tembo atujambie ili tupone kimoja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Akizungumza moja kwa moja kutokea Ngorongoro ambapo wamewapokea Watangazi wa Kipindi ' maarufu ' kabisa cha Clouds tv 360 mmoja wa Wahifadhi wa Ngorongoro amesema kuwa ile ' harufu ' inayotokana na Kitendo cha Mnyama Tembo ' Kujamba ' kama ukimuwahisha Mgonjwa wa Pumu ( asthma ) mukabala na inapotokea ile harufu ya ' mjambo ' basi huyo Mgonjwa wako atapona huo Ugonjwa na hatokuja kuugua tena hadi dunia nyingine itakapoundwa.

Sasa nitoe tu RAI kwa wale wenzangu na mie wenye hili tatizo au ugonjwa huu wa Pumu kuwa kama vipi ' tujioganaizi ' kisha twendeni ' tukajambiwe ' na ' Tembo ' huko Ngorongoro au hata katika Hifadhi zingine ili tupone ' kimoja ' kwani nina uhakika kuwa wengi wetu sasa hasa tuliopo hapa Dar kipindi hiki cha hali ya hewa hii ya mvua na baridi tunaugua mno Pumu.

Mtakaokuwa tayari kwenda ' kujambiwa ' na Tembao tafadhali tuambiane ila Mimi binafsi kwa jinsi Pumu yangu hii inavyonitesa ' hakyanani ' nipo tayari kwenda hata sasa.

Nawasilisha.
 
Kama inaponesha hakuna shaka

Vipi ingekuwa labda ' Binadamu ' ndiyo anatoa hiyo ' tiba ' je ungeonyesha ' ushirikiano ' na ' ushujaa ' wako huu huu kama ambao upo tayari sasa kuotoa kwa Tembo?
 
Akizungumza moja kwa moja kutokea Ngorongoro ambapo wamewapokea Watangazi wa Kipindi ' maarufu ' kabisa cha Clouds tv 360 mmoja wa Wahifadhi wa Ngorongoro amesema kuwa ile ' harufu ' inayotokana na Kitendo cha Mnyama Tembo ' Kujamba ' kama ukimuwahisha Mgonjwa wa Pumu ( asthma ) mukabala na inapotokea ile harufu ya ' mjambo ' basi huyo Mgonjwa wako atapona huo Ugonjwa na hatokuja kuugua tena hadi dunia nyingine itakapoundwa.

Sasa nitoe tu RAI kwa wale wenzangu na mie wenye hili tatizo au ugonjwa huu wa Pumu kuwa kama vipi ' tujioganaizi ' kisha twendeni ' tukajambiwe ' na ' Tembo ' huko Ngorongoro au hata katika Hifadhi zingine ili tupone ' kimoja ' kwani nina uhakika kuwa wengi wetu sasa hasa tuliopo hapa Dar kipindi hiki cha hali ya hewa hii ya mvua na baridi tunaugua mno Pumu.

Mtakaokuwa tayari kwenda ' kujambiwa ' na Tembao tafadhali tuambiane ila Mimi binafsi kwa jinsi Pumu yangu hii inavyonitesa ' hakyanani ' nipo tayari kwenda hata sasa.

Nawasilisha.
Mkuu niweke ktk hyo list [HASHTAG]#freePUMU[/HASHTAG]
 
Poleni sana wagonjwa wa pumu.
Lakini kwanini uingie gharama yote hiyo na uhatarishe maisha yako kwa kuvizia ushuzi wa tembo?

Ipo namna nyingine ya kupona pumu ila wengi wenu mnafail kupona kwa kutofuata masharti ya kuepuka attacks za pumu.

Mtu umeugua asthma kwa miaka20 umetumia madawa madawa mengi yenye kemikali tena yenye kutuliza tu wala hayaponeshi, mwishowe umejenga usugu wa ugonjwa...

Pumu ni ugonjwa wa kurithi. Zipo dawa za asili zenye uwezo wa kuponesha pumu kabisa na kusahau madhila ya huu ugonjwa.
Mimi ni shahidi na nilipona kwa kuzingatia dozi. Uzuri kilicho saidia nipone haraka, mimi sikuwahi kutumia inhaller wala tembe yoyote ya kutuliza maumivu.

Wito wangu; kama wewe umekuwa mtumiaji sugu wa dawa za kutuliza, pindi upatapo dawa ya asili na ikaonesha matumaini, usisitishe matumizi yake ghafla vinginevyo utakuwa mtumwa wa madawa na kukata tamaa ya kupona.
Yupo member maarufu na mwenye hadhi kubwa katika serikali, nilimrecommend dawa iliyo niponesha mimi amepona na bado anaendelea kutumpia.
 
Tunaomba utusaide jina la hiyo dawa tuitafute n.a. sisi tupone n.a. utabarikiwa
 
Mkuu hii dawa haina jina la kisayansi wala hitolewa kwa lengo la kujipatia kipato, bali ni uwajibikaji kwa maana ya kujitolea kunusulu binadam wengine.
Kama upo tayali kuanzishiwa dozi hii nitafute PM ntakutumia parcel yako.
 
Huwa nawachukia mno Watu wanafiki, wachoyo na wenye roho mbaya kama Wewe. Kama unaijua tiba na una ubinadamu kwa Wenzako tunaoumwa huo Ugonjwa kwanini usituwekee tu hapa tuijue, tukainunue nasi tuweze kupona? Bora hata usingechangia tu huu uzi na ungepita zako tu kwani umenikera na huna tofauti na Gaidi kwa kuwa na roho ya Kichoyo. Eti kama kuna anayeumwa akufuate PM. Kwenda zako huko na hakufuati Mtu yoyote na tutapona tu hivyo hivyo mdogo mdogo.
 
We nakufahamu ni mtu wa kuendekeza porojo za kijinga jinga ndani ya JF na bila shaka hujitambui!
Huwezi kumzuia mhitaji asije PM kisa wewe umesema. Kwa taarifa yako ni wengi tu wanakuja nawapa muongozo na siyo mwaka huu tu, ni muda mrefu nimesaidia watu na wameondokana na haya maradhi.
 
Kama una dawa na kumbe unajua kuwa Watu wengi wanahitaji hiyo Tiba inakuwaje muda wote huo umekaa Kimya hadi ukasubiri MWANAMUME wa Shoka GENTAMYCINE aanzishe uzi ndipo ukurupuke kama Kenge wa chooni kuja kujifanya unatoa tiba? Bado narudia tena kusema kuwa Wewe una roho mbaya halafu ni mbinafsi kama siyo mchoyo na ndiyo maana nakupa makavu yako bila kukuonea aibu.

Kwa taarifa yako dawa tumeshapata na tumeshapona na nilikuwa nakusanifu tu na kama kawaida yenu nikiwasanifu huwa mnakurupuka halafu mnanifanya Mimi niwacheke tu huku tena kwa dharau sana. Tokea nitibiwe Pumu ( Kienyeji ) kule Marangu mwaka 1988 na Baba Mkwe wake Mwanasiasa na Mchapishaji maarufu wa Vitabu nchini Mzee Walter Bgoya sijaugua tena Pumu hadi leo.
 
Hahahaaa na huo ugonjwa mwingine ulio nao ni lini utatibiwa?!!

Pole sana mkuu nnaimani hujapona pumu ila unajifariji tu. Ukihitaji kupona nitafute nikuhudumie. Sijaanza leo wengi wamepona kupitia kwangu.
 
Back
Top Bottom