Doctors naombeni majibu hapa

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,202
69,276
Nikivipi mapigo ya moyo wa mtoto ambaye yuko tumboni yanaanza..? na pia
nataka kujua mwanzo(kabla ya moyo kuanza kupiga pigo lake la mwanzo nini hufanyika mpk kuanza kudunda..?)
nikivipi moyo unapata nguvu ya kusukuma damu..?

nangoja majibu...
 
Ingia you you tube utafute video za conception and baby's heart beats.
 
Back
Top Bottom