Jaman nna mgonjwa wangu nimekuja kutibiwa hapa mhimbili so naomba kama kuna mtu humu anafanya kazi hapa, naomba tuwasiliane anipatie mwongozo wa namna ya kupata matibabu kwa haraka,
Au hata yeye...
Habari zenu wa ndugu, naomba madaktari mnisaidie. Mimi ni mjamzito wiki ya 23 mtoto wa kwanza nilimzaa kwa operation na alikaa wiki 2 tu akafa. Sababu niliambiwa njia ilifunguka hadi cm 6 ikagomea...
Wanajamii jumapili njema. Kwa muda mrefu sana nimekua nikisikia kuhusishwa kitovu kuhusishwa na nguvu za kiume iwapo kitaangukia kwenye uume wa mtoto wakati akiwa mdogo.
Inanisumbua sana...
KUHUSU USHOGA
----------------------------
Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume yamekuwa yakipigwa vita miaka nenda miaka rudi katika maeneo mbalimbali duniani...
Ndugu habari za hapa naomba kujua kupiga chafya asubuhi niugonjwa au hali yakawaida? pia umalizapo kuoga nakuanza kupiga chafya njingi niugonjwa au nihali yakawaida asanteni.
Habari Jf Dr?
Hivi majuzi nilipatwa na shida ikabidi nikimbizwe hospital haraka. Haraka nikapigwa drip bila hata vipimo. Wakati nipo kitandani ndipo utaratibu wa kuchukua damu kwa ajiri ya vipimo...
HOW HIV POSSITIVE SOMETIME CAN TEST NEGATIVE?
HOW IS THAT POSSIBLE?
SO WHICH TEST IS BEST TO CONFIRM IF SHE IS HIV NEG OR POSSITIVE IF SHE/HE IS ON TREATMENT BECOUSE IF YOU TEST WITH PCR YOU...
Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu, tatizo nisipo safiri, nikiwa naye lazma nichape ndipo nilale, nisipo do usingizi hauji, muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nini?
Wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kupambana na maradhi yaliyokuwa sugu kwa dawa za kupambana na vijidudu yaani antibiotics tatizo ambalo lilikuwa tishio dhidi ya sekta ya afya duniani...
Habari wana jamii forum.
Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikuvutiwa sana na kazi ya ushauri na unasihi jambo lilonifanya kuwa mdau mkubwa na mfatiliji wa makala, vitabu na maandiko yanayohusu...
Wabobevu wa masuala ya afya ya mwanadamu,nimekuwa gizani kwa muda mrefu juu ya huu mstari ulionyooka katikati ya tumbo kwa mwanamke mjamzito,huwa una maana yeyote kuhusiana na ujauzito?
Habari za hapa jf?
Samahani naomba kujua kama ni tatizo au ni kawaida kwa mtoto wa umri wa miezi 3.5 kunyonya kwa kubeep. Yaani ananyonya kidogo sana alafu anakua hataki tena.
Bado hajaanza...
Ahsanteeni kwa woote walio nishauri kutumia pilipili manga katika uji kwa mama asietokwa na maziwa na alifanya hivyo na hivyo, hivi sasa maziwa yanamwagika kama bwawa la Mtera ahsanteni kwa...
Wana jf tumbo langu linaunguruma sana yaani waweza dhania nimemeza vyura kwani hukimbizana na kugonga kuta za tumbo.Sauti mpaka ninajishtukia kwani watu wanazisikia.Hivi tatizo ni nini?
Mjamzito anapaswa kuepuka ulaji wa kupita kiasi ili asinenepe kupindukia (Obesity). Kulingana na kijarida kiitwacho Krause’s Food, Nutrition and Diet Therapy, mtoto anayezaliwa akiwa na uzito wa...