Aman iwe nanyi
Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana
Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan
Naomben msaada wenu wa...
Shikamoni wakubwa,
Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa...
Wasalaam ndugu,
Naamini niko na afya njema kabisa.
Ngoja nianze hivi, ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabisa mwilini.
Mwanzo niliona kawaida ila...
Wadau.
Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi...
Jigiasis/funza ni ugonjwa unaotoka na mdudu Funza pale anapoingia kwenye maeneo ya mwili wa binadamu hasa miguuni asilimia kubwa hutokan na mazingira ya vumbi na pia uchafu.
Dalili zake...
Kama heading inavojieleza, mwenza wangu alianza Mp tarehe 20/11/2017 alfajiri sasa nahitaji nizae mtoto wa kiume.
Kiufupi tangu atoke mp natumia kondom kama contraceptive method. Wataalam...
Wakuu ni muda sasa kama miaka miwili natokwa mkojo wa njano nikitumia maji mengi hali hiyo hupotea na pindi naporudia kupinga punyeto hali hiyo hujirudia
Maswal
(1) ni nini madhara ya...
Ngiri nyingine ni ya Mshipa wa Kushuka ni hii hapa Mabusha kwa lugha ya kiswahilBusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu.
Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka...
Wapendwa habari zenu.
Tafadhali naomba mnisaidie kupata Dawa ya meno aina ya Close Up hii ni dawa ya meno ambayo nimekuwa nikitumia kwa muda mrefu sana hadi sasa hata hivyo upatikanaji wake kwa...
Habari vijana.
Leo nakuja na mada nyengine inayovutia ambayo tutazungumza kuhusu JINAMIZI .
Watu wengi wanaamini ya kwamba jinamizi ni jini ama mzimu usionekana unaosumbua watu wakati wapo katika...
Wadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story...
Tunatofaitiana jinsi mwenyezimungu muumba mbingu na nchi kama alivyoamua.kuna wenye aina tofauti ofauti ya vitovu baina yetu hata kama tumetoka damilia moja .kuna wengine vimezama ndani na wengine...
Aman iwe nanyi wapendwa,
Naombeni msaada wenu kwa hali na mali juu ya hali yangu
Kwanini kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke mbavu huuma sana hasa yanapopita masaa 24. Jana niligegeda...
Faida za Massage katika Mifupa
Massage ina faida nyingi katika kuboresha afya ya mifupa. Mifupa ni tishu muhimu sana katika miili yetu, kwani mifupa huunda kiunzi ambacho:-
i. Huupa mwili umbo...
Nataka kujua hivi matibabu ya kisaikolojia yanamchumkua muda gani muathirika kupona?.
Je yanaweza kutumia miezi 3???
Psychological problem can lapse for 3 weeks only, why some are taking too long??
Wakuu habari za mchana?
Natumaini mko sawa na mishe kama kawa zinasogea.
Nimebahatika kupata mwanamke mzuri ambae mpaka ninapoandika uzi huu ni mjamzito na mungu akijaalia mwezi ujao tunatarajia...
Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma
Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.