Wanaume wenye upara hatarini zaidi kupata maradhi ya moyo

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau.

Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi ya moyo kuliko wanaume wenye nywele kichwani.Utafiti huo ulihusisha vijana 2,000 na ulifanyika nchini India.

Source: BBC
 

John L. Mihambo

Verified Member
Jan 26, 2013
526
225
Wadau.

Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi ya moyo kuliko wanaume wenye nywele kichwani.Utafiti huo ulihisisha vijana 2,000 na ulifanyika nchini India.
Source: BBC
Doooh, tafiti hizi hatari sana!
 

charles177

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
734
1,000
Wadau.

Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi ya moyo kuliko wanaume wenye nywele kichwani.Utafiti huo ulihisisha vijana 2,000 na ulifanyika nchini India.
Source: BBC

Hakuna utafiti hapo, tunakuwa na tunazeeka halafu tuna kufa binadamu wote. This is cycle of life. Tukiwa na stress au genetics genes tunaweza kupata mvi au kipata tukiwa wadogo. The rest is just natural for example most of us we all be dead in 60 years times. And young ones and people are not yet to be born will take over. Cycle of life moves us all on.
 

K A B U R U

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
658
1,000
Utafiti umefanywa na idara ya utafiti huko Ulaya, lakini umefanyika India. Sasa hiyo sample inajitosheleza kuuelezea ulimwengu wote?
 

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,698
2,000
Wahindi lazma wapate ugonjwa wa moyo maana waanakula mafuta kwa wingi sana & pilipili san
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom