Kuchelewa kufika kileleni wakati wa tendo

dk luis

Member
Nov 20, 2017
20
3
Shikamoni wakubwa,

Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa kachoka.

Ushauri wa kitaalamu tafadhali.
 
Shikamoni wakubwa mi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingne sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa kachoka ushauri wa kitaalamu tafadhali
Watoto acheni kuvamia mambo ya mapenzi wakati hujaanza hata shule..
Umri wako ulitakiwa kukimbizana na kuchelewa kulala ili ujifunze maarifa shuleni ...,ili uje ufute uchafu uliofanywa na Baba zako ccm miaka zaidi ya 30 sasa ...
 
Pole sana mdogo wangu, huo ndio umri ambao watu waliofikisha 40s husimuliana walivokuwa wanapiga idadi kubwa ya vikombe vya kahawa ndani ya lisaa limoja.
Mtu hashuki bila kupiga vikombe kadhaa,,,

Nakupa pole kwasababu utalazimika kupiga kamoja tu.

Zile story ya vitano, nane kumi na mbili utabaki kuhisi kuwa ni story tu wakati watu wameyafanya haya katika umri kama wako wewe unayepiga kamoja tu.

Ushauri :- badilisha dem.
 
Watoto acheni kuvamia mambo ya mapenzi wakati hujaanza hata shule..
Umri wako ulitakiwa kukimbizana na kuchelewa kulala ili ujifunze maarifa shuleni ...,ili uje ufute uchafu uliofanywa na Baba zako ccm miaka zaidi ya 30 sasa ...
Hadi Sasa nasoma Ila Jua huu niujana haukwepeki
 
Back
Top Bottom