Wazo zuri kwa kweli, ntafanya hivyo...Kapime hiv
Kapime hiv
ID ..inajielezaKapime hiv
TAFUNA ABDALASIN NA KITUNGUU SWAUMU,NI TIBA SAF SANAA,WALAU SIKU MBILI HIVIWadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story kama hii, ni upepo gani umepita Dar safari hii..?
Kama haujawahi kutumia dawa za minyoo karibuni nenda kapime minyoo. Inaweza kuwa ni minyoo hasa kama ni kikoozi kikavu kisichoisha kinachokusumbuaWadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story kama hii, ni upepo gani umepita Dar safari hii..?