Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
naombeni kuuliza kwanini mwanamke akiwa siku zake anaharisha?
hujaona mke wa sugu akizaa?Mbona mnatoa siri za ndani sasa
duuh pole kula mbogamboga matunda na maji kwa wingi.labda wewe
mimi binafsi hata choo sipati ndani ya siku5 nahisi
Sugu kamuonyesha mkewe akizaa?!hujaona mke wa sugu akizaa?