Kitovu kuwa na uchafu

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,621
2,000
Tunatofaitiana jinsi mwenyezimungu muumba mbingu na nchi kama alivyoamua.kuna wenye aina tofauti ofauti ya vitovu baina yetu hata kama tumetoka damilia moja .kuna wengine vimezama ndani na wengine vimetokea kwa nje.
Hoja yangu hapa ni kuwa tangu utoto wangu nilipopata fahamu kidogo,nilikuwa nakichezea (kukifanyia usafi) ili kuondoa uchafu ulioko kwenye kotovu.nilikuwa nafanya hivyo kila nilipoina kunauchafu.
Lakini baada ya kukua na kipata uwelewa mzuri kwa maana utu uzima na kuambiwa sio vizuri kukipekenyua ni hatari unaweza kupoteza maisha nimeacha na sasa kuna rundo la uchafu hadi nahisi haibu nikivua shati ninapokua na mwandani wangu au ninapogelea.

Naomba msaada je naweza kikifanyia usafi bila kupata madhara?
 
mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
972
500
Mimi huwa napaka mafuta ya mgando usiku na asubuhi wakati wa kuoga nasafisha kidogo tu kwa kidole unakuwa unatoka bila kutumia nguvu. Uchafu unakuwa umejikusanya na kinakuwa kisafi.
 
Master plan

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
3,684
2,000
Teh teh ati kuna rundo la uchafu kwani kitovu chako kimekuwa dampo? We chukua vile vipamba vya kusafishia masikio kisha kisafishe hiko kidude acha utoto
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,621
2,000
Kama hivyo ila sory kwa wataokwazika na kama haitafaa itaondolewa.
Nashukuru kwa mlionipa ushirikiano
 
Attachments

  • 1388124781182.jpg
    File size
    23.1 KB
    Views
    449

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,621
2,000
Mimi huwa napaka mafuta ya mgando usiku na asubuhi wakati wa kuoga nasafisha kidogo tu kwa kidole unakuwa unatoka bila kutumia nguvu. Uchafu unakuwa umejikusanya na kinakuwa kisafi.

mkuu nashukuru sana na mungu akubariki sana njia hii ndio imenisaidia safi sana uchafu unatoka wenyewe.
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,719
2,000
mkuu nashukuru sana na mungu akubariki sana njia hii ndio imenisaidia safi sana uchafu unatoka wenyewe.

Yeah, hii ni nzuri kweli, unaweweka mafuta then unakisafisha taratibu either kwa maji na kidole au hata pamba au cottonbuds pia si mbaya.

Na kama una kawaida ya kupaka lotion mwilini ukimaliza kuoga basi na pakaa na kwenye kitovu pia.

Ila kwa njia yoyote ile linapokuja suala la kusafisha kitovu safisha taratibu usitumie nguvu
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,621
2,000
Yeah, hii ni nzuri kweli, unaweweka mafuta then unakisafisha taratibu either kwa maji na kidole au hata pamba au cottonbuds pia si mbaya.

Na kama una kawaida ya kupaka lotion mwilini ukimaliza kuoga basi na pakaa na kwenye kitovu pia.

Ila kwa njia yoyote ile linapokuja suala la kusafisha kitovu safisha taratibu usitumie nguvu

Angel Nylon lotion napakaa nivea ila nimepaka mara kibao haijanisaidia kwa kweli mafuta ya mgando ndani ya dk 40 impact niliiona.

Nashukuru pia dada Angel Nylon ilikua aibu nikienda swimming kuogelea lazima nivae vest.
 
Last edited by a moderator:

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,719
2,000
Angel Nylon lotion napakaa nivea ila nimepaka mara kibao haijanisaidia kwa kweli mafuta ya mgando ndani ya dk 40 impact niliiona.

Nashukuru pia dada Angel Nylon ilikua aibu nikienda swimming kuogelea lazima nivae vest.

Pole sana.

Mimi kuusudio langu uwe unapaka kawaida kama unavopaka sehem nyengine ya mwili ili kisiwe kikavu, kikiwa kikavu huwa kinapiga weupee nayo pia si nzuri huonekana kama mchafu vile.

Lkn linapokuja suala la kusafisha mafuta ya mgando yanasafisha vizuri.
 
Last edited by a moderator:

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
nimenufaika hapa,mchumba wangu anatatizo hili,nilipomuuliza akaniambia nisimguse panauma sana,ngoja nimtext. asante mleta mada na mtoa suluhisho
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,621
2,000
Shukrani@Mshinga mwambie apakae kiasi kidogo tu cha mafuta laini ya mgando uchafu utatoka wenyewe huingizi kidole pamba stick wala nini?
 
DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,847
2,000
Duh.......kumbe kuna haya pia, mie sijawahi ona uchafu na wala cjawahi fikiria kama kunaweza kuwa na uchafu, nashukuru kwa sredi, imeniongezea elim.
 
gelevahekejr

Senior Member
Feb 24, 2014
122
195
Nashukulu sana kwa Maada hii I hata Mimi ninatatizo .hilo ILa tatizo nakuta panaota kipele cha uchafu msaada pia
 
Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,465
2,000
Tunatofaitiana jinsi mwenyezimungu muumba mbingu na nchi kama alivyoamua.kuna wenye aina tofauti ofauti ya vitovu baina yetu hata kama tumetoka damilia moja .kuna wengine vimezama ndani na wengine vimetokea kwa nje.
Hoja yangu hapa ni kuwa tangu utoto wangu nilipopata fahamu kidogo,nilikuwa nakichezea (kukifanyia usafi) ili kuondoa uchafu ulioko kwenye kotovu.nilikuwa nafanya hivyo kila nilipoina kunauchafu.
Lakini baada ya kukua na kipata uwelewa mzuri kwa maana utu uzima na kuambiwa sio vizuri kukipekenyua ni hatari unaweza kupoteza maisha nimeacha na sasa kuna rundo la uchafu hadi nahisi haibu nikivua shati ninapokua na mwandani wangu au ninapogelea.

Naomba msaada je naweza kikifanyia usafi bila kupata madhara?
Kama kuna madhara si ungekufa wakati unakichokonoa ukiwa mdogo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom