Natafuta Dawa ya meno inaitwa CLOSE UP.

zsm

Member
Apr 2, 2017
55
125
Wapendwa habari zenu.
Tafadhali naomba mnisaidie kupata Dawa ya meno aina ya Close Up hii ni dawa ya meno ambayo nimekuwa nikitumia kwa muda mrefu sana hadi sasa hata hivyo upatikanaji wake kwa hili eneo nilipo umekuwa mgumu sana kwani katika maduka niliyokuwa nanunua saizi hawana Dawa hiyo na wananambia kwamba wanapoagiza mzigo huwa hawapati dawa hiyo. So naomba msaada kwa anayeweza kupata dawa hiyo anisaidie niweze kuipata. Nina tatizo la mdomo kutoa harufu mbaya nimetumia dawa za meno aina tofauti nyingi lakini hazikunifaaa Close Up imenisaidia sanaa plz naombeni msaaada wenu wapendwa. Kwa atakaefanikiwa kupata mahali inapouzwa au kama yeye anauza naomba tuwasiliane
IMG_20171202_141813.jpg
IMG_20171202_141721.jpg
. Dawa hii nadhani inatengenezwa Kenya naomba mnisaidie niipate tafadhali wapendwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom