Msaada wa kidaktar kwanini kila nikiona wanawake wenye makalio makubwa moyo Wang huenda mbio

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi

Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana

Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan

Naomben msaada wenu wa kidakitar


LONDON BABY
 
Kula kwa macho ni mbadala halisi wa laana ya kula kwa jasho?
Jadili usemi kuu kwa kutumia visa hai.
 
unaugonjwa unaitwa grustuuuresd/56&frbb/hhj
ukiendelea hivi itakupelekea upate utapia mlo.
Angalia usikumbwe na kiharusi
au ugonjwa wa kusinzia sinzia hovyo.
 
Ni genye hizo wala huna tatizo!
Its the matter of passion na kwakuwa hujawahi wapata unaumia hamna kitu mule ni nguo tu zile akivue mbona inalala.
 
Umebarehe siku sio nyingi,angalia usije kufa na presha hiv vitu vipo tu
 
Me nakushauri tafuta wataalamu wakufunge speed governor ya moyo maana uendavyo kasi na Tanzania yetu hayo mambo yamejaa kila kona utakutana na tochi za traffic
 
Back
Top Bottom