Habari zenu wakuu,
Mimi huwa ninatatizo la malaria kujirudia rudia kila baada ya miezi miwili au mitatu natumia dawa lakini baada ya miezi mitatu inarudi tena alafu huwa inaambatana na kikohozi...
Habarini wana jukwaa?Nina mdogo wangu wa miaka 18 ana tatizo la uoni hafifu na usikivu hafifu,amekua akitumia miwani toka akiwa na miaka 14 baada ya ushauri wa daktari lakini hivi karibuni hali...
Kuacha kazi na mambo ya ofisi ofisini. Ikiwa utakuwa nyumbani ni vyema kushiriki na familia kazi za nyumbani & michezo. Kulingana na @CDCgov kati ya 26% hadi 40% ya wafanyakazi wanadai kazi ndio...
Enzi hizo za ujana nakumbuka tukio moja lililonikuta huko kwetu nyumbani kijijini mpaka leo najiuliza na hapa nawauliza ninyi wajuvi wa mambo kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya jicho na...
Waungwana huu ugonjwa sio mchezo kwa watu wazima, tuende kupima na wala msiogope kupima ni damu tu inachukuliwa na sio yale mambo ya vidole.... ukiwahi matibabu ni bira zaidi
Nyuzi kama hizi...
Habari awali ya wote nimshukuru mwenyezi mungu kwani bila yeye hakuna jambo linakuwa
Jamani kichwa changu kina mikunjo je inasababishwa na nn na je kuna tiba yeyote? Mikunjo ipo kwenye ngozi ya...
Naomba kueleweshwa ni vyakula gani ambavyo nikila vitasaidia kuongeza maziwa
Ninamtoto wa miezi miwili na wiki moja, maziwa yangu yanatoka kidogo sana hivyo naona kama hayatoshi na mtoto hashibi...
Wakuu habari za majukumu, Wakuu Naombeni Masaada mwanangu anasumbuliwa na mafua kwa muda mrefu ,ana umri wa miezi 3 nimejaribu Dawa nazo elekezwa lakini Bado ,Watu wanasema labda alikunywa maji...
Habari ndugu zangu
Kama kichwa kinavyosema, nina rafiki yangu anasumbuliwa sana na nyonga takriban miezi 6 sasa. Ameshafanya vipimo vyote vya kidactari lakini tatizo halionekani, dawa nahisi...
Leo nimeambatanisha Karatasi inayothibitisha kuwa AZUMA ni dawa ya VVU/UKIMWI, karatasi hii nimeitoa moja kwa moja ndani ya dawa ya AZUMA(Azithromycin) na mahali nilipopigia mistari ndio kuna...
Hii thread maalumu kwa ajili ya kupeana uzoefu mbalimbali kwenye mambo ya uzazi
Mimi ninaanza na swali la kwanza;
Ninamuomba Mungu nipate ujauzito nipo kwenye harakati za kumpata mzazi...
Makosa kumi wafanyayo wazazi wakati wa kuwalea watoto wao. Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo basi,tunapaswa kuwapokea kama walivyo na kuwapa malezi bora yanayostahili. Mwalimu wa kwanza...
Wakuu natumai wazima,
Nina ndugu yangu wa kike 17 years, tatizo kubwa alionalo ni kuumwa na kichwa,
Kichwa chake kama kinakua kinakufa ganzi upande mmoja,kinamuuma sana.
Dawa aliozoea kutumia ili...
Wana JF habari za ujenzi wa Taifa?
Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa asali ya kutoka mkoa wa Tabora. Jana nilienda kuchukua mzigo wangu (asali) katika ofisi moja inayojihusisha na kusafirisha...
Nimekunywa Dawa Za Antibiotics Za Minyoo Na Tumbo Aina Ya "Secnidazole Tablets".Nimekunywa Jana Asubuhi Muda Wa Saa Nne(4) Asubuhi.Kwa Dozi Ya "2*1".
Je Ni Mda Gani Dawa Hii Itaendelea Kufanya...
Kuna jamaa ya yangu anatarajiwa kuingi theater kesho kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji utakao ondoa jicho lake 1. Nimeumia sana. Atafanyiwa upasuaji kesho kwenye hospitali ya mt Fransis hapa...
Salamu wana jukwaa mwaka 2013 nilifanyiwaga operation ya appendix sikuwai pata tatizo lolote kama navyosikiaga kwa wengine ila Leo nijeamka nina kama naisi maumivu nimejiangalia nikakuta kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.