Msaada anaefahamu tiba ya Pumu ya Ngozi (ECZEMA)

Fafanua ni wakati upi huwa unapatwa na mashambulizi ya huo ugonjwa na mazingira yapi ukikaa hupelekea kuibuka kwa ugonjwa huo.

NB; Wapo member nimewahi kuwasaidia hapa JF wakaondokana na tatizo la pumu hasa bronchual asthma.
 
Habari wanajamvi wote wa Jf?? poleni kwa majukumu yenu ya kila siku...

Nina jambo/tatizoo napenda kushare n kwa yeyote mwenye ujuzi nalo tunaomba msaada...
Kwa ufupi nna tatzo la ngozi (upele/fungus) kwenye mwili wangu especially on hand fingers(see attachment),
hili ni tatzo la mda mrefu kwangu tangu nazaliwa/udogo wangu ambapo nlikuwa affected sehem za mikunjo ya mikono, nyuma ya magoti, shingoni na begani licha ya kuhudhuria hospitals bila mafanikio ya moja kwa moja. Bahati nzuri nlipoendelea kukua ndipo athari za ngozi ziliendelea kupungua adi kufikia mda huu bado nasumbuliwa sehem za vidole vya mkono inaonesha tatzo bado ni sugu. Kwa ushauri wa madaktari Nmejaribu kutumia baadhi ya dawa za kupaka mfano ELYVATE, TIOCON, ENTEZMA, CLODERM n.k pia na kumeza vidonge vya allergies na minyoo pasipo
mafanikio.
Nmehangaika sana hospitals kuhusu hili tatzoo na mwisho wa siku vidole vimekuwa sugu na mara ya mwisho nmemuona skin specialist amenambia nna tatizo la Pumu ya Ngozi (ECZEMA), bila shaka hili tatzo mie si mtu wa kwanza kuumwa kuna baadhi mlikuwa affected na mlipona ama kuna wataalam mtakaoweza kunisaidia tiba ya Pumu ya Ngozi mana nakosa raha kuexpose vidole mbele za watu hasa mahala pa kazin kwangu.

Nitashkuru sana kwa mawazo yenu kuhusu hili tatzo

Nawasilishaa
Fafanua ni wakati upi huwa unapatwa na mashambulizi ya huo ugonjwa na mazingira yapi ukikaa hupelekea kuibuka kwa ugonjwa huo.

NB; Wapo member nimewahi kuwasaidia hapa JF wakaondokana na tatizo la pumu hasa bronchual asthma.
Naomba kupata ushauri/tiba kuhusu tatzo la Pumu ya ngozi (ECZEMA)
Fafanua ni wakati upi huwa unapatwa na mashambulizi ya huo ugonjwa na mazingira yapi ukikaa hupelekea kuibuka kwa ugonjwa huo.

NB; Wapo member nimewahi kuwasaidia hapa JF wakaondokana na tatizo la pumu hasa bronchual asthma.
 
Daktari anaweza kukuandikia steroid cream ya kupaka uitumie kwa wiki mbili. Baada ya wikimbili usiitumie hata kama hakuna matoke rudi kwa daktari. Steroid cream ukii tumia kwa muda mrefu ina madhara.
 
Ukipata tiba tuletee mrejesho nami nasumbuliwa kwa tatizo hili kwa muda sasa
 
First and foremost you have to change your diet completely meaning wacha kula diary products peanuts , eggs, wheat products, soya, tomatoes and sugars punguza kabisa, avocado, all processed foods, than tumia mafuta na sabuni ya aveeno, for my baby i used an emollient cream that huwezi kupata hapa tanzania and it helped completely, consider pia na weather that you are in also try to wear only cotton and stay away from bad washing soaps.. or even perfumes.. yani in short you have to change your life itatulia ila cha msingi change what you eat anza kula boiled at low heat natural foods na antioxidants foods that help with inflammation such as carrots, apples, pineapple, sweet potatoes, omega 3 foods and chicken..
 
I call it atopic dermatitis... if you change your life style utasahu kabisa kama hata ulikuwa nayo goodluck...
 
Ila first step ask your doctor if you can take a cortisone pill to remove inflammation I believe 3 days is enough which will remove the skin rash afu na diet nzuri na hayo mafuta na sabuni youll be okey.
 
Back
Top Bottom