Ushauri nifanyeje nipunguze unene na kitambi

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,596
2,000
Fanya mazoezi ya kukimbia kila siku at least mzunguko unaokamilisha km 3 japo mazoezi ya kukimbia yanafanya rate ya Kula iongezeke japo sio tatizo kubwa afu kunywa maji ya moto au uvuguvugu asubuh au jion au kama unaweza mda wwt utakusaidia .

Ni gradual change usije ukakimbia Mara moja ukakaa ukafikiri ndo umemaliza fanya kama desturi yako
 

Iza

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,980
2,000
Punguza aina ya vyakula unavyokula haswa vya mafuta na junkies , acha kukaa unaangalia tv muda mrefu, penda kutembea kwa miguu zaidi ya kutumia gari, kunywa maji kama 3lt kwa siku....fanya na mazoezi hata ya kuogelea kwa masaa hata 2 kwa siku 3 za wiki..kwa ujumla jishughulishe usikae idle!
 

chinatown

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
1,090
2,000
discipline discipline discipline .......ya kula, ya kufanya mazoezi . sio kula kila kitu jiulize kwa nini unakula hicho unachokula. hakuna mbadala wake?
kula mapema kabla ya kulala
tabia ya kula nyama choma punguza kula

 

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,248
2,000
Msaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
Kuna njia rahis sana ya kupunguza, hakuna kushida na njaa na sio lazma mazoezi, ukiitaji nichek nikupe doctor flan nina ushahidi wa watu 2 waliosaidiwa nae na sasa wanapiga modo kama kawa
 
Nov 8, 2017
22
45
Fanya mazoezi ya kukimbia kila siku at least mzunguko unaokamilisha km 3 japo mazoezi ya kukimbia yanafanya rate ya Kula iongezeke japo sio tatizo kubwa afu kunywa maji ya moto au uvuguvugu asubuh au jion au kama unaweza mda wwt utakusaidia .

Ni gradual change usije ukakimbia Mara moja ukakaa ukafikiri ndo umemaliza fanya kama desturi yako
Thnx
 

idrey

Senior Member
Feb 23, 2015
153
225
Kunyua maji ya moto asubui na usiku then stay away from all cold drinks such as beers. And soft drinks Napia usile ndizi mara kwamara pia ule chakula chamoto most of the time exercise in the morning
 

kamanda wa makamanda

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
620
500
kunywa maji kwa wingi dogo,punguza vijiko, na kabla ya kula kunywa maji yakutosha, jion tembea kama nusu saa hivi,kama unaweza nakushauri ule sana mboga za majani, na chakula cha kawaida kama kijiko kimoja hivi
 

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,077
2,000
Kura kidogo Fanya Mazoezi sana. Mkuu hakuna dawa ya kupunguza unene zaidi ya hiyo Formula
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom