Algeciras
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 349
- 330
Wakuu natumai wazima,
Nina ndugu yangu wa kike 17 years, tatizo kubwa alionalo ni kuumwa na kichwa,
Kichwa chake kama kinakua kinakufa ganzi upande mmoja,kinamuuma sana.
Dawa aliozoea kutumia ili kutuliza maumivu ni hedex na imepungua utendaji kazi nahisi kwa kutumia kila siku.
Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa nini na atumie dawa gani ili apate nafuu na kupona kabisa.
Shukran.