Habari madaktari wa JF?
Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kiume ana miezi 7 sasa, tatizo tangu amezaliwa anashtuka sana na mara kwa mara, yaani mshtuko wa mtu anayeogopa kitu ukidondosha hata...
Kutokana na mabishano yaliyokua yakiendelea humu juu ya kipi kinafaa kati ya dushelele ama kibamia, na hatima kuwa wenye vibamia hawana chao.hili ni suluhisho la wenye vibamia na wao waweza kua na...
Habari wakuu wa JamiiForums, naombeni msaada wenu kwa moyo wa dhati.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Nimekuwa nikihangaika sana kutafuta mtoto. Natamani sana kuitwa baba, lakini mpaka...
Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige...
Habari wana JF
shemeji yangu alijifungua mtoto wa kiume kwa upasuaji, inavyoelezwa ni kuwa mimba yake haikuwa na shida yeyote ila shemeji tu alikuwa hayupo strong enough na kushindwa kusukuma...
Habari wakuu.
Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna...
Habari za Leo wakuu,
Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa...
Kusafisha Figo lililokuwa ni chafu ili liweze kufanya kazi vizuri.
Chukuwa embe moja kubwa kata Vipande vidogo, kisha kata Vipande vidogo Tufaha la kijani aka Apple.
Kisha Kata limao vipande...
FAIDA YA KEGEL NA JINSI,YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL (Wanaume)
Kufanya mazoezi ya Kegel ni muhimu kwa kila mwanaume, nasema hivi kwa sababu ni zoezi ambalo kila aliyelifanya mara kwa mara ndani ya...
Habari wana jamvi;
Mimi ni kijana wa miaka 23,kwa miaka isio pungua 7 (saba) nimekuwa nikipitia kipindi kigumu kabisa kiafya hasa kwenye mfumo wangu wa mkojo(urinary system)
1.Nimekuwa nikipata...
Maelezo ya picha,Taulo inaweza kuonekana safi machoni ila imekusanya mamilioni ya bakteria
Kwa kunusa tu kipande cha nguo au kukichunguza kwa uangalifu ikiwa hakina mabaka, tunaweza kuamua ikiwa...
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.
Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza...
Na Matilda Welin
Makala mwandishi
Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi.
Miaka...
Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu
1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua
2. Saa nne unakula matunda sahani nzima
3. Mchana unapiga msosi...
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...
Kuna walio na tatizo...
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa...
Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.