Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani. Nimetumia dawa kadhaa...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Habarini wana JF yaani ninatatizo la mafua kilasiku pua kuziba au muda mwingine yanatoka makam*si...ila kila siku nipo na mafua...kuna dawa gani itasaidia...au sababu inaweza kua ni nini!? Kuna...
1 Reactions
19 Replies
43K Views
Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao. Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa...
3 Reactions
5 Replies
776 Views
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga. Yaani ni kama nimevimbiwa, nabeuwa harufu, cha kushangaza hamu ya kula sina, ila nikitia chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga yaani ni kama nimevimbewa na beuwa harufu, chakushangaza hamu ya kula Sina Ila nikitia Chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wataalamu. Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa...
0 Reactions
3 Replies
365 Views
Wasiseme sikuumwa. Usiku wa saa nane ,imepigwa hii simu Ni kwasababu ya mane, nimeridhi kunywa sumu Nimeishi kama bene , sikuwa na umuhimu Wasiseme sikuumwa, Abuu hili liseme Sikulala miezi...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Habari za muda huu, Naombeni msaada Mimi nimuajiriwa katika tasisi binafsi ila kutokana na matatizo ya maumivu ya UTI wa mgongo niliomba ruksa yakwenda kufanya hicho kipimo cha MRI mwanza ila ni...
1 Reactions
8 Replies
661 Views
📢📢Wananzengo mpo📢📢 Uzazi wa mpango wa asili ✨Kukwepesha Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au...
8 Reactions
44 Replies
12K Views
Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili? Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume. Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili Kuna ndugu yetu kuvunjika mbavu ametoka mkoani hatuna mwelekeo kabisa msaada ndugu zangu tafadhali 🙏 Pm kwa...
2 Reactions
6 Replies
467 Views
Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Naomba kuuliza Je Bugando hospital inapokea wagonjwa wasio na rufaa kutoka hospitali zingine? Nataka kwenda kutibiwa Bugando hospital.
0 Reactions
3 Replies
262 Views
Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu...
14 Reactions
151 Replies
114K Views
Wakuu afya njema iwe nanyi. Nina swali kwenu, mfano una mashaka au wasiwasi na usalama wa chakula cha sherehe fulani kama vile harusi au msiba nikiwa na maana ya labda kimefanyiwa ulozi au...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Msaada ndugu zangu mwenzio nina changamoto ya kuchelewa kufika kileleni, inanichukua saaa mbili na bado niko strong nifanyeje au kama kuna daktari anisaidie.
2 Reactions
11 Replies
718 Views
Back
Top Bottom