Jinsi ya kukuza uume wako kwa kutumia mti wa mdodoki ama sausage tree

return of cs

Senior Member
Jul 11, 2015
130
23
Kutokana na mabishano yaliyokua yakiendelea humu juu ya kipi kinafaa kati ya dushelele ama kibamia, na hatima kuwa wenye vibamia hawana chao.hili ni suluhisho la wenye vibamia na wao waweza kua na muhogo wa uhakika kabisa.

Nilipokua shinyanga miaka ya 98 kulikua na miti aina ya madodoki kwa jina lililozoeleka shinyanga kutokana na matunda ya mti huo yakikauka hutumika kama madodoki kujisugulia wakati wa kuoga, vijana wengi wallitumia hii miti ili kuhakikisha kuwa wanamiliki limuhogo la uhakika na kweli tulifanikiwa na mpaka leo wapo wanaotumia njia hiyo.

Chakufanya unatafuta mti ulotoa hayo matunda yakiwa bado madogo ama saizi ya kati kisha unalichanja kidogo na hutoa utomvu nawe unajichanja kwenye uume na kupaka ule utomvu, kwa muda huo unatakiwa uhakikishe ule mti unakua na lile tunda pia, kutokana na ukuaji wa lile tunda nawe uume wako hukua pia na utakapoona umefikia saizi unaitaka unapaswa kwenda kuukata ule mti ama kulichuma lile tunda.

Si Tanzania tu pia malawi huu mti huitwa mvunguti na wao huutumia kwa style hii. ‘mvunguti tree is useful to men that are less endowed,When a man feels he has problems with the size of his penis, he goes to this tree and identifies a fruit that has just popped up.

He makes a small cut at the very end of the fruit and monitors it as it grows. Depending on the size he wants for his penis, he plucks out the fruit when it reaches that size, goes home, grinds it, and then eat it' hiyo ni malawiSenegal pia na huutumia huo mti kwa namna hii.

phpThumb.jpeg
kigelia_africana.jpeg
aboutpic01.jpeg
02+Sausage+tree+Ruaha+NP.jpeg

From Senegal down to South Africa the Kigelia fruit has a long history of both consumption and topical application. It is valued as an aphrodisiac, a disinfectant and a cure for dermal complaints.

Adolescent boys and girls use the fruit for enhancing growth of the genetalia and breasts respectively. Women rub an ointment, made from Kigelia fruit pulp, onto their breasts as a skin tightening, breast firming and enlarging treatment.This treatment is also used on babies in the belief that they will grow to be fatter.

Kwa ambae hajaelewa chochote ni pm
 
hiyo ishu sio kweli ndugu mm nimejaribu kwanza hautoi utovu kama watu wanavyo sema akuna kitu hapo ni hadithi za kufikilika
 
Stori tu hizi halafu hili sio dodoki kabisa labda kwa sababu ya utofauti wa maeneo
 
Huo ni muegea bana, lakini ni stori tu hata sisi tulichanjiaga zamani za shule ya msingi kwa kutumia hayo maegea lakini hakuna ukubwa wa mbo** wala nini
 
Ngoja uchanje hala upate dharura usafiri au upate tatzo ulazwe hospitalini..sijui nani atalidondasha hilo tunda au mti..then tunda likue then lije lisinyae hadi kukauka sijui hapo itakuwaje,
 
huu upuuzi sitaki hata kuusikia..tuliwahi kufanya mi na washkaji wangu watatu tukiwa primary..siku ya tatu tu baada ya kufanya.mzee alirudi home na taarifa ya msiba..kwamba kesho yake inabidi tuende dar kwenye msiba

basi nikaanza kugoma bila maelezo yanayoeleweka..wakanambia hatuwezi kukuacha nyumbani peke yako...mana dada wa kazi nae alisafiri..wkanambia tutakudrop moro kwa shangazi yako..pale kuna kampan ya kutosha..nikagoma pale bila kueleweka..

kesho yake asubuhi safari ikaanza..wakaniacha moro wakasepa..kipindi chote hicho kitu kilishaanza kuvimba..basi baada ya siku nne hali ndo ikawa mbaya..shangazi akahisi siko sawa..akanihoji ila nikamwambia niko poa..akanikubalia tu kwa shingo upande....

kesho yake mambo yalikuwa mabaya zaidi..Nikawa nimejifungia room..mara shangazi akasikia kilio kutoka kwenye room yangu..akaja mbio..Safari hii nikaanza alivyofika tu nikaanza kujieleza bila hata ya kuulizwa...baada ya maelezo nikawa namsisitiza tuende dom tukakate ile kitu..akanambia sawa(kumbe ananifariji)..Ye akanichukua breki ya kwanza hospital..nikapigwa misindano pale zen kuna dawa nikapakwa.....
baada ya kuwa poa nikamsimulia shangazi vizuri..akaamua awapigie wazazi simu kuwaelezea..zen akawaambia kuna marafiki zake alifanya nao,Ni vyema kama ukawapigia wazazi wao simu kuwapa taarifa ..

ila kwa washkaji zangu mambo hayakuwa mabaya sana..dushe ilikuwa inavimba kwa kujiheshimu...ila nao walipelekwa hospital kama mm baada ya wazazi wao kupewa taarifa

binafsi siamini kama hili dude linakuza uume
 
Kutokana na mabishano yaliyokua yakiendelea humu juu ya kipi kinafaa kati ya dushelele ama kibamia, na hatima kuwa wenye vibamia hawana chao.hili ni suluhisho la wenye vibamia na wao waweza kua na muhogo wa uhakika kabisa.

Nilipokua shinyanga miaka ya 98 kulikua na miti aina ya madodoki kwa jina lililozoeleka shinyanga kutokana na matunda ya mti huo yakikauka hutumika kama madodoki kujisugulia wakati wa kuoga, vijana wengi wallitumia hii miti ili kuhakikisha kuwa wanamiliki limuhogo la uhakika na kweli tulifanikiwa na mpaka leo wapo wanaotumia njia hiyo.

Chakufanya unatafuta mti ulotoa hayo matunda yakiwa bado madogo ama saizi ya kati kisha unalichanja kidogo na hutoa utomvu nawe unajichanja kwenye uume na kupaka ule utomvu, kwa muda huo unatakiwa uhakikishe ule mti unakua na lile tunda pia, kutokana na ukuaji wa lile tunda nawe uume wako hukua pia na utakapoona umefikia saizi unaitaka unapaswa kwenda kuukata ule mti ama kulichuma lile tunda.

Si Tanzania tu pia malawi huu mti huitwa mvunguti na wao huutumia kwa style hii.
‘mvunguti tree is useful to men that are less endowed,When a man feels he has problems with the size of his penis, he goes to this tree and identifies a fruit that has just popped up.

He makes a small cut at the very end of the fruit and monitors it as it grows. Depending on the size he wants for his penis, he plucks out the fruit when it reaches that size, goes home, grinds it, and then eat it' hiyo ni malawiSenegal pia na huutumia huo mti kwa namna hii

From Senegal down to South Africa the Kigelia fruit has a long history of both consumption and topical application. It is valued as an aphrodisiac, a disinfectant and a cure for dermal complaints.

Adolescent boys and girls use the fruit for enhancing growth of the genetalia and breasts respectively. Women rub an ointment, made from Kigelia fruit pulp, onto their breasts as a skin tightening, breast firming and enlarging treatment.This treatment is also used on babies in the belief that they will grow to be fatter.

Kwa ambae hajaelewa chochote ni pm

Mdodoki siyo mti ni mmea utambaao kama mkunde,tikini maji au mtango/matango ila wenyewe unatambalia mtini.

Huo mti kwenye picha hapo ni Myegeya/myegea, na matunda yake hayatumiwi kwa kujisugulia.
 
Back
Top Bottom