Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ni miezi sita sasa tangu nilipoanza kuuza majani ya ngano kwa wagonjwa wa Kansa, Kisukari, vidonda vya tumbo na Presha na matokeo yake wengi wamepona na wengine bado wanaendelea na matibabu na...
3 Reactions
46 Replies
13K Views
Nimeamua kuacha haya 1. Nimeacha ku "come" nje ya nanii. Hii iliniletea matatizo ya kiuno. Watalaamu walinambia kwa yale matatizo sababu zilikuwa mbili - Kama nafanya mastabesheni - Na"come" nje...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Kila binadamu aliumbwa akiwa na mkia mdogo ambao hufyozwa na kutoweka tangu siku za mwanzo za uhai wake tumboni kwa mama. Mkia huo ni miongoni mwa viongo ambavyo vipo ndani ya mwili wa binadamu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
"Haikuwahi kutokea kwangu kuwa nilitumia dawa za kuzuia mimba 'morning-after pill' na zikashindwa kufanya kazi.'' 'Rachel' ambalo si jina lake halisi, alipata ujauzito baada kubakwa akiwa nchini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nilienda kituo cha afya na kucheki afya nikakutwa nina Typhoid. Sasa nimeanza kutumia dozi za Typhoid (Cepro) siku ya 3 hii. Ila wataalamu ni kwamba yaani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mama yangu mdogo tangu ameambukizwa Virusi Vya Ukimwi miaka 2 iliyopita amekataa kata kata kutumia dawa za ARV ili kuongeza maisha. Amekuwa mbishi, licha ya kushauriwa na madaktari, anadai ni...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume 29 (nimeoa), kwa sasa nipo Dar, miezi mitatu Iliyopita nilianza kujisikia vibaya hasa kupata maumivu ya kiuno na viungo vyote vya mwili, niliamua kwenda hospital moja hapa Dar...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kuuliza "STRESS NI NINI?" Na hebu niambie jambo moja linaweza kusababisha stress.
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wakuu, naomba kuelemishwa. Kuna madhara yoyote kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba? Mke wangu umri wake wa mimba ni wiki 37+6 na kimo cha mimba ni 40. Na hii ni mimba ya pili...
0 Reactions
28 Replies
18K Views
Za asubuhi jamani hongereni na majukumu ya kujenga taifa letu nilikuwa na uliza ivi, kuingia hedhi siku 7 kuna tatizo? ====== Baadhi ya majibu ya wachangiaji ======= Idadi ya siku za kuingia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mji wa uzazi hufahamika kama (Uterus), wakati mwingine msichana huzaliwa na uterasi ambayo ni ndogo sana kuliko kawaida, hali hii hujulikana kama ''hypoplastic uterus'' au ''Uterine Hypoplasia''...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Niende kwenye mada Napenda kuuliza je mtu akimeza dawa za Malaria kabla ya kupima hospitali, maana naziona dalili zake kabisa sasa hospitali kidogo kuna umbali. Yapi madhara yake endapo itakuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau? Nina tatizo la mwili wangu kuwa na joto muda wote na mate yanakuwa ya uchungu na hilo joto inafikia kipindi mpaka mwili unaniwaka sana moto! Nilipima kipimo cha full blood picture...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna mtaa nilipita nikakuta vijana wanabishana sana kuhusu haya magonjwa mawili UKIMWI na Ebola, wengi walikuwa wanasema Ebola ni hatar kuliko UKIMWI Ila ukiwauliza sababu kwanini ni hatari kuliko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Napata maumivu kifuani nikipumua, hasa wakati wa usiku, na hali hii imetokana na kuwa na mawazo makali sana ambayo yamepelekea hiyo hali. Naomba ushauri.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pineapples are low in calories but have an incredibly impressive nutrient profile. One cup (5.8 ounces or 165 grams) of pineapple chunks contains the following (2): Calories: 82.5 Fat: 1.7 grams...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za alfajiri; Nianzie kwa kuelezea kidogo: Dementia ni hali/ugonjwa unaosababisha kupungua kwa uwezo wa kiutendaji wa kiakili ikiwemo kumbukumbu,na uwezo wa kufikiri.Hali hii hupelekea mtu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni Kisonono, Kaswende, Klamdia, Kankroidi, Utando mweupe, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Shida kubwa ya magonjwa mengi ya zinaa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Huu mti jina sijui ila wengine wanaita mhadarati kama sijakosea. Unavimatunda vinapendwa sana na popo ila ni mazuri sana kwa wagonjwa wa kisukari. Huwa inashusha sukari na kuifanya iwe normal...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanachama, Nauliza uimara wa hizi dawa siku hizi zimezagaa mitandaoni na biashara za network marketing. Je zinasaidia kweli? Kama za hormones imbalance. Naomba ushuhuda wa waliowahi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…