Upi ni ugonjwa hatari kati ya UKIMWI na Ebola

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Kuna mtaa nilipita nikakuta vijana wanabishana sana kuhusu haya magonjwa mawili UKIMWI na Ebola, wengi walikuwa wanasema Ebola ni hatar kuliko UKIMWI Ila ukiwauliza sababu kwanini ni hatari kuliko UKIMWI majibu yao wengi wanakuambia Ebola ukiukwaa humalizi week tayari umeshapotea Duniani.

Sasa wakuu nyie mnalizungumziaje hili swala? Ningependa tupate elimu kidogo juu ya haya magonjwa najua wengi wanayafahamu kwa kusikia tu Ila ukimuuliza vyanzo vyao na maambukizi yake utapata majibu ya blah blah
 
UKIMWI hauui jamani ila Ebola ugonjwa mbaya sana, mtu anazikwa na watu wanne tena wamejifunga nguo maaalum
 
Ebola ni kiboko. Ukimwi mtu unaweza jikinga hata ukiupata kuna ARV.
 
Back
Top Bottom