Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
Naomba kuuliza "STRESS NI NINI?"
Na hebu niambie jambo moja linaweza kusababisha stress.
Na hebu niambie jambo moja linaweza kusababisha stress.
Pitia hapo ujue maana yake![]()
Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu. Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja. Tuanze na hivi:- 1. Leo kidogo nipigwe na mwanamke baada ya...www.jamiiforums.com
Makini Sana hiiYako mengi.. Stress ni mental n behaviour response kutoka kwenye vitu vya nje. (Nashindwa weka kwa kiswahili vizuri)
Stress husababishwa na..
Usichanganye Stress na Emotions ni vitu viwili tofauti japo vinashabihiana na kutegemeana.. Madhara makuu ya Stress ni Depression inayoweza kukuletea kifo au vifo vya wengine
- Kuumwa
- Vifo na kufa
- Migogoro ya familia
- Ubovu
- Umaskini
- Kutokutimiza malengo
- Kunyanyaswa
- Yapo mengi sana yanayosababisha stress...Yamewekwa katika makundi makundi nikipata muda nita update hii Comment
Umeshawahi kukumbwa, stress zipo kwenye makundi tofautiNdy kitu gani hii, me sijui kama nishawahi ukumbwa na stress eti
Stress ni depression?! Kweli?!Yako mengi.. Stress ni mental n behaviour response kutoka kwenye vitu vya nje. (Nashindwa weka kwa kiswahili vizuri)
Stress husababishwa na..
Usichanganye Stress na Emotions ni vitu viwili tofauti japo vinashabihiana na kutegemeana.. Madhara makuu ya Stress ni Depression inayoweza kukuletea kifo au vifo vya wengine
- Kuumwa
- Vifo na kufa
- Migogoro ya familia
- Ubovu
- Umaskini
- Kutokutimiza malengo
- Kunyanyaswa
- Yapo mengi sana yanayosababisha stress...Yamewekwa katika makundi makundi nikipata muda nita update hii Comment
Stress huleta depression au umenielewa vibayaStress ni depression?! Kweli?!
Haujaandika hvyo ndo maana imebidi nikuulizeStress huleta depression au umenielewa vibaya
Basi kuna kitu nimesahau nilitaka andika kua madhara ya stress ni DepressionHaujaandika hvyo ndo maana imebidi nikuulize
Umechanganya Emotions na StressUmeshawahi kukumbwa, stress zipo kwenye makundi tofauti
Positive stress
Negative stress
Hapo kwenye positive ni zile zinakufanya wewe uwe motivated kufanya kitu fulani ili ufikikie mafanikio
Ila
Negative stress
Ndo hizo mtu unakuwa nazo zinapelekea uwe na depression, na Muda mwingine mpaka kufa
Kwahiyo usiseme hujawahi kuwa na stress, hata Ile kujiuliza stress ni nini nayo ni stress pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umechanganya Emotions na Stress
Nimekuelewa ndg, but nadhani mostly tunajua stress ni kwenye negative thoughts tu kama kuvunjika kwa uhusiano, kukosa kazi na hata kuwa na maisha magumu ndy utasikia nina stress lakini Kumbe hata mambo mazuri tunayowaza ni stress pia, Asante kwa somoUmeshawahi kukumbwa, stress zipo kwenye makundi tofauti
Positive stress
Negative stress
Hapo kwenye positive ni zile zinstressa wewe uwe motivated kufanya kitu fulani ili ufikikie mafanikio